Uchaguzi 2020 Mchungaji Msigwa rasmi kutangaza nia Dodoma hotel Jumapili 14 Juni

Kwa hiyo Msigwa anataka kupambania urais na mkwewe?
 
CDM wanajitahidi kwa ubunifu ktk tasnia ya sinema, hadi wameiua Bongomovie kabisa 😂😂😂😂😂

Kwahiyo wagombea wa 2020 wanatoka familia moja, Magu na Msigwa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara ya viwanda na biashara .
Eeenh, Erythro, unaelekea kufuzu kwa propaganda hizi!

Lakini usije ukapitiliza, maanake baada ya Oktoba mkishaingia kwenye madaraka, propaganda za namna hii watu wataanza kuifikiria CCM kwamba walikuwa na nafuu katika kuwapotosha wananchi.

Chunga sana usije ukageuka kuwa 'Popole' wa CHADEMA!
 
unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara ya viwanda na biashara
Na kweli, watu wamepiga hela ndefu! Kula helalkn kwenye sanduku la kura ni wewe na roho yako!
 
View attachment 1477671

Wote mnakaribishwa

Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara ya viwanda na biashara .

Tuendelee kuwa pamoja kwa yanayokuja .
Muongo wa dunia akiwa Rais nakunywa sumu
Siku zote chadema ni watu wa mizaha tu
 
View attachment 1477671

Wote mnakaribishwa

Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara ya viwanda na biashara .

Tuendelee kuwa pamoja kwa yanayokuja .
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Acha nijifukize tu utani umezidi sasa
 
View attachment 1477671

Wote mnakaribishwa

Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara ya viwanda na biashara .

Tuendelee kuwa pamoja kwa yanayokuja .
Huyu si ni mkwe wa JPM huyu!!

Basi sawa.
 
View attachment 1477671

Wote mnakaribishwa

Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara ya viwanda na biashara .

Tuendelee kuwa pamoja kwa yanayokuja .
Eti FOR PRESIDENT!
Hahaha mgombea wa chadema hakuna hata mmoja huko wa kusahihisha Hilo bango?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi Ni dalili za kutengeneza day kubwa atakaoporejea CCM . Sioni Kama anaweza kufikia hata unyayo wa Lissu. Safari hii tutaona mengi kwa mtu aliye vumilia kwa mabango Mara zote atapinduka kwa kishindo.
 
View attachment 1477671

Wote mnakaribishwa

Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara ya viwanda na biashara .

Tuendelee kuwa pamoja kwa yanayokuja .
Ni for Presidency na si For President

Huyu alikuwa muuza miche ya miti na matunda mwenzangu huyu 2000-2005. Kijiwe chetu kulikuwa opposite na NSSF kwenye duka la unga la mzee Ng'owo
 
Hahahaaaa....... Rip Anthony Ng'owo

Msigwa kaniuzia sana mitumba hapo Miyomboni.
 
Back
Top Bottom