Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Ushahidi kuwa Chadema na wafuasi wake wamechanganyikiwa ki akili na sasa wanapuka hovyo.View attachment 1477671
Wote mnakaribishwa
Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara ya viwanda na biashara .
Tuendelee kuwa pamoja kwa yanayokuja .