Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Ushahidi kuwa Chadema na wafuasi wake wamechanganyikiwa ki akili na sasa wanapuka hovyo.View attachment 1477671
Wote mnakaribishwa
Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara ya viwanda na biashara .
Tuendelee kuwa pamoja kwa yanayokuja .
Zamani sana.Hahahaaaa....... Rip Anthony Ng'owo
Msigwa kaniuzia sana mitumba hapo Miyomboni.
Hakika mkuu!Zamani sana.
Ni for Presidency na si For President
Huyu alikuwa muuza miche ya miti na matunda mwenzangu huyu 2000-2005. Kijiwe chetu kulikuwa opposite na NSSF kwenye duka la unga la mzee Ng'owo
For president is right.Eti FOR PRESIDENT!
Hahaha mgombea wa chadema hakuna hata mmoja huko wa kusahihisha Hilo bango?
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa si wateja wake umechukua wewe !Ni for Presidency na si For President
Huyu alikuwa muuza miche ya miti na matunda mwenzangu huyu 2000-2005. Kijiwe chetu kulikuwa opposite na NSSF kwenye duka la unga la mzee Ng'owo
Nani alijaribu uenyekiti mkuu?Safi. Huko Urais poa tatizo jaribu Uenyekiti. Waliojaribu wote mwaka huu wako nje ya fensi sasa.
Angalau Msigwa unamfahamu alikotokea , wengine hata walikozaliwa hawajulikaniHahahaaaa....... Rip Anthony Ng'owo
Msigwa kaniuzia sana mitumba hapo Miyomboni.
Inaonekana wazi elimu yako ni ya kukaririKwani Ana elimu gani? Ndio maana kaandika
FOR PRESIDENT!
Angekuwa na elimu neno sahihi
FOR PRESIDENCY.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hakuna watu wajinga kama wazungu. Chadema wanawachezea sinema ili wajidai wanademokrasia ili wapate pesa za kupigia kampeni.View attachment 1477671
Wote mnakaribishwa
Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara ya viwanda na biashara .
Tuendelee kuwa pamoja kwa yanayokuja .
Raisi mfupi ataweza kukagua gwaride kweli?Sasa kwani ni lazima asimame kwenye hicho kibao? Ni sababu ya ufupi au?
Mungu aipumzishe kwa amani roho ya marehemu Chacha Wangwe! Nadhani umenielewa...Siyo kile chama kingine, wakisikia tu fununu mtu anataka kuchukua fomu, kupambana na Jiwe, anafukuzwa kwenye Chama!
Unaweza kutukumbusha watia nia ya urais kwa Chadema mwaka 2015? Na mchakato ulivyokuwa, kama hutojali...Hiko ndiyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo.........
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha zambi jamaa anguFace yake tu inafaa kua balozi wa mtaa..anadhani uRais ni kitu cha kujaribu jaribu..
[emoji23][emoji23][emoji23]sure Man[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha zambi jamaa angu
Hujui kitu kumbe kaa kimyanani mkwe wake bhana ! ni ndugu tu wa Jiwe ndio alioa dada wa Msigwa , kwanza dada mwenyewe alishafariki kitambo