Mchungaji Msigwa umetukosea heshima wanandugu kwa kushindwa kutambua mchango wa fedha za familia

Siasa zitawachonganisha... Msigwa ni mwanasiasa na yuko kwa maslahi ya wengi hivyo press conference ile ilikuwa muhimu hasa baada ya kuzushiwa kuhamia CCM... Wewe kama mwana ndugu ulikuwa na nafasi muhimu ya kulitatua hili kifamilia kuliko kuja huku na kumsema
Jr[emoji769]
 
sasa ulitaka awashukuru ndugu kwenye media ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Japo kumsaidia mtu ni jambo jema inaonekana Mmeshakula hela tayari, makamera yote yale mlikuwa mnataka kumkoga nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bwana Luvanda na "mwana wa tanzania" ni mtu yule yule?

Badala ya huu uzi si ungempigia tu simu mh. Msigwa? Au huu uzi ni kwa maelekezo na inputs za 'lepo lepo'?
 
Hizi movie hizi kweli ni za ajabu mpaka zinanifanya kufikiri mara nyingi sana.Inawezekanaje mtoe hukumu ya kumfunga Msigwa na wenzake, mkasimama kidete kwa hali na mali mpaka hukumu ikapita kama mlivyotaka mkahakikisha wamepelekwa Segerea.

Ghafla tu mkamtoa yule Msukuma.Mliposikia karibu Watanzania wengi wamechanga fedha za kuwatoa za kutosha na nyie mkaanza mchezo wa kuigiza,tena wa kitoto kwelikweli.

Unifunge halafu ujifanye mwema kuja kunitoa,ni kitu gani hicho wala sikuelewi.Mnachanganyikiwa mpaka mnafanya vitu vya ajabu.

Eti familia ya Kina Msigwa imechanga 2m peke yake.

Hivi kwa nini mnadharau watu hivi. kina Msigwa ni wa 2m.Halafu bila kuwa na aibu eti nayo Ikulu ni mmoja wa Familia.Hapa tunajiuliza,waliochanga 2m wamehifadhi majina yao aliyekuja na vioja kwa nguvu kubwa amechorwa kila mahali.Uongo mwingine haujifichi.Haya Kina Msigwa wamesema familia haijachanga 2m.huyo amepata wapi hiyo figure.Kama sio kudhalilisha watu.

Huyu hapa kajipachika jina tu la Msigwa kumbe hata hajulikani.Hawa ni walewale wamezoelekaga.Ukija kimbelembele yupo,kinyumanyuma pia yupo basi tena.

Wenye misimamo yao wapo.Kina Mch.Peter na sio wewe bendera fuata upepo.Hata wewe usipokuwepo Mch.Mambo yake yanenda tu.Kwanza nina hakika wewe hukuchanga chochote unapiga kelele tu hapa.
 
Msingwa pole yake kama ndiyo ana ndugu mazwazwa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbafu kabisa.. twambie wewe umechangia kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ushauri mzuri nataman muhusika angeusoma na akafikiria sana kwa kina

sent from toyota Allex
 
Wewe ndugu luvanda ni mhehe na Msigwa nadhani ni Mbena Kama sijakosea ingawa ni kweli kwa makabila mengine siyo rahisi kumtofautisha mhehe na mbena
 
Wewe unajuwa michezo ya siasa inavyochezwa?

Wapiga kura wa Iringa wanaongoza kwa umakini Tanzania nzima na mchungaji Msigwa analijua hilo vizuri!
Yule happy atakuwa ndie rc wa kwanza kutumbuliwa Kwa kushindwa kuwalazimisha wanyalu waichague ccm anadhani Iringa ni Dodoma. Asubirie aone mzik wake
 
Msigwa kagoma kulazimishwa kuunga juhudi Kwa mtutu.Huo undugu haukuwapo Miaka 2 iliyopita hadi ujitokeze leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…