Mchungaji Msigwa wa CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari leo saa 5:00 asubuhi

Mchungaji Msigwa wa CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari leo saa 5:00 asubuhi


CHADEMA wanapenda 'usela' sana, yani wamemchagua Sugu wakamuacha Msigwa?

Nimeona pia baadhi wanamuita Msigwa pandikizi la CCM, hii ndio njia pekee inayotumika ndani ya CHADEMA kumuua mwanachama wao kisiasa ndani ya chama.
Wakati anachaguliwa Mwenyekiti wa Kanda kwa Miaka Kumi ulikuwa sio usela?
 
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa

Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa Unyaluni 😄🔥

Ahsanteni


Huyu uncle Magufuli angekuwepo angeshaenda ccm, asijidanganye ana jipya, chadema ni imara, ukijitenga unaumia wewe.
 
Back
Top Bottom