Mchungaji Msigwa wa CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari leo saa 5:00 asubuhi

Mchungaji Msigwa wa CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari leo saa 5:00 asubuhi

Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa

Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa Unyaluni 😄🔥

Ahsanteni.
Saa 6:47 sasa
 
daa wakihamia ACT uchsguz ujao utakuwa na upinzani mkali sana maana act wana nguvu tayari na wanaenda kuiua chadema kabisa hapo na kina mdee wanahamia act na kundi lake halafu wote wanarudi bungeni safiiiiiiiii
ACT Ina nguvu gani?.
 
Back
Top Bottom