Imeenda hiyo aiseeMwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa
Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa Unyaluni 😄🔥
Ahsanteni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeenda hiyo aiseeMwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa
Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa Unyaluni 😄🔥
Ahsanteni.
Ataongea Kwa niaba ya Lisu team wamepanga kuichafua Chadema Halafu wanahamia ACT wazalendosasa anaendakuivua nguo chadema tusbiri
daa wakihamia ACT uchsguz ujao utakuwa na upinzani mkali sana maana act wana nguvu tayari na wanaenda kuiua chadema kabisa hapo na kina mdee wanahamia act na kundi lake halafu wote wanarudi bungeni safiiiiiiiiiAtaongea Kwa niaba ya Lisu team wamepanga kuichafua Chadema Halafu wanahamia ACT wazalendo
CHADEMA wanapenda 'usela' sana, yani wamemchagua Sugu wakamuacha Msigwa?
Nimeona pia baadhi wanamuita Msigwa pandikizi la CCM, hii ndio njia pekee inayotumika ndani ya CHADEMA kumuua mwanachama wao kisiasa ndani ya chama.
Wacha ujinga,unaelewa maana ya uchaguzi wewe kifaduro?
Eti "wanamwita" au nyie CCM ndio mnaji - impersonate kama CHADEMA na kumuita hivyo ndugu Mch. Peter Msigwa purposely ili kujaribu kuleta vurugu?
It's impossible kui - shake CHADEMA kwa style hiyo. Na Mch Msigwa si mtu wa kuwa shaken na maCCM kwa namna hiyo ya kijinga!
TLP Ni CCM (c) tangu enzi za Mrema.Ameshawaachia anaelekea kuimarisha TLP 😄🔥
Siwezi kuumizwa na mpumbavu. Sana sana ninawachora tu maujinga yenu mnayopostKama kuna sehemu nimekuumiza, pole!
Tatizo la vichwa maji wengi ni kusoma ili kukosoa na sio kusoma ili kuelewa. Niliposema CHADEMA wanapenda usela, "wamemchagua" Sugu wakamuacha Msigwa hukuelewa kwamba nimezungumzia uchaguzi hapo? Kwamba walipewa fursa ya kuchagua na wamemchagua msela?
Hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Wewe ndiye mjinga unayetaka Chadema wafanye kama akili yako inavyowaza.Kama kuna sehemu nimekuumiza, pole!
Tatizo la vichwa maji wengi ni kusoma ili kukosoa na sio kusoma ili kuelewa. Niliposema CHADEMA wanapenda usela, "wamemchagua" Sugu wakamuacha Msigwa hukuelewa kwamba nimezungumzia uchaguzi hapo? Kwamba walipewa fursa ya kuchagua na wamemchagua msela?
Hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Siwezi kuumizwa na mpumbavu. Sana sana ninawachora tu maujinga yenu mnayopost
Wewe ndiye mjinga unayetaka Chadema wafanye kama akili yako inavyowaza.
Bimkubwa umekuja kivingineKama kuna sehemu nimekuumiza, pole!
Tatizo la vichwa maji wengi ni kusoma ili kukosoa na sio kusoma ili kuelewa. Niliposema CHADEMA wanapenda usela, "wamemchagua" Sugu wakamuacha Msigwa hukuelewa kwamba nimezungumzia uchaguzi hapo? Kwamba walipewa fursa ya kuchagua na wamemchagua msela?
Hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Msigwa alikuwa Mwenyekiti wa Kanda kwa Miaka Kumi aachie wengine
Swali zuri mnoMbona mwenyekiti hataki kuachia wengine?