johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akiondoka Mchungaji Msigwa Chadema Iringa itapooza sanaComred Msigwa karibu sana CCM tujenge nchi yetu.
Na valonge swela helaMwenyekiti mstaafu wa Chadema Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa
Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa Unyaluni ππ₯
Ahsanteni
Kazi ya uchaguzi ni nini?
CHADEMA wanapenda 'usela' sana, yani wamemchagua Sugu wakamuacha Msigwa?
Nimeona pia baadhi wanamuita Msigwa pandikizi la CCM, hii ndio njia pekee inayotumika ndani ya CHADEMA kumuua mwanachama wao kisiasa ndani ya chama.
Msigwa hana mbele wala nyumaMwenyekiti mstaafu wa Chadema Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa
Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa Unyaluni ππ₯
Ahsanteni
Wakati anachaguliwa Mwenyekiti wa Kanda kwa Miaka Kumi ulikuwa sio usela?
CHADEMA wanapenda 'usela' sana, yani wamemchagua Sugu wakamuacha Msigwa?
Nimeona pia baadhi wanamuita Msigwa pandikizi la CCM, hii ndio njia pekee inayotumika ndani ya CHADEMA kumuua mwanachama wao kisiasa ndani ya chama.
Utajua Hujui ππ₯msigwa hana mbele wala nyuma
Ameshawaachia anaelekea kuimarisha TLP ππ₯Msigwa alikuwa Mwenyekiti wa Kanda kwa Miaka Kumi aachie wengine
CCM ameshakuja Sugu πππComred Msigwa karibu sana CCM tujenge nchi yetu.
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa
Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa Unyaluni ππ₯
Ahsanteni
Chadema bila Tundu Lisu ni wachumba tu ππHuyu uncle Magufuli angekuwepo angeshaenda ccm, asijidanganye ana jipya, chadema ni imara, ukijitenga unaumia wewe.
Wacha ujinga,unaelewa maana ya uchaguzi wewe kifaduro?
CHADEMA wanapenda 'usela' sana, yani wamemchagua Sugu wakamuacha Msigwa?
Nimeona pia baadhi wanamuita Msigwa pandikizi la CCM, hii ndio njia pekee inayotumika ndani ya CHADEMA kumuua mwanachama wao kisiasa ndani ya chama.
Watakuita mzushi maana habari zao wanataka wazitoe wenyewe!Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa
Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa Unyaluni ππ₯
Ahsanteni.