PreGE2025 Mchungaji Mwl Steven Jacob atekwa na watu wasiojulikana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
16 May 2025
Arusha, Tanzania

MAYOWE YA NATEKWA BABA YASIKIKA, WATU WAJITOKEZA ...MASHUHUDA WAELEZEA TUKIO LA KUTEKWA MCHUNGAJI MTAA WA FFU ARUSHA

View: https://m.youtube.com/watch?v=bBaVuu1cT40&
Mchungaji Atekwa juu kwa juu na kutupwa ktk land Cruiser lisilo na namba... rangi ya ..

Wananchi watoa ushuhuda kuwa bodaboda waliamua kulifukuza ambapo Land Cruiser iligonga mtu bila kusimama wakati gari hilo la watu wasiojulikana wakitoweka na mateka wake .......

Bodaboda waliendelea kulifukuza hadi eneo la Kisongo ambapo Land Cruiser likasimama lilipoona linafuatiliwa na bodaboda, na watekaji hao walitoa bunduki kuwatishia bodaboda hao ..

Naye balozi wa eneo mzee Jacob Gumbo asema alipewa taarifa kuwa ....

Mchungaji Stephen Jacob Gumbo ni maarufu pia kwa kuzungumzia masuala ya kisiasa na kijamii ya Tanzania mtandaoni YouTube na kutoa utabiri wa maono anayopewa kupitia account ya Huduma ya Kristo YouTube pamoja ya kuwa anatoa huduma za kiroho za kiimani katika kanisa...

Balozi na wananchi wafuatilia suala hilo Polisi na kuambiwa wanafuatilia tukio hilo ...

1747443197537.png

1747443263631.png

PRESIDENT’S OFFICE LINKED TO SUSPICIOUS VEHICLE TRAILING HECHE tanzania. We are getting closer to linking
enforced disappearances modus operandi with authorities specifically Suluhu Hassan‘s officeThis vehicle is the same make of vehicle used in several cases Yesterday it was trailing john who is on high alert since his Chair Tundu Lisu was detained With some follow up we now have this plate number insured by the PO yet registered for private use!The whole system is compromised and needs an overhaul!

from maria sarungi
 
Aliongea ujinga, radi zimeanza tangu dunia imeanza. Kumbe li chadema

Ila aliyepiga jiwe kioo cha LandCruiser.......
 
Jamaa hawataki kusikia hata maonyo ya Mungu radi sio ishara nzuri saa nyingine ni ishara ya hasira ya Mungu.Tuombeane hofu ya Mungu
 
16 May 2025
Arusha, Tanzania

MAYOWE YA NATEKWA BABA YASIKIKA, WATU WAJITOKEZA ...MASHUHUDA WAELEZEA TUKIO LA KUTEKWA MCHUNGAJI MTAA WA FFU ARUSHA

View: https://m.youtube.com/watch?v=bBaVuu1cT40&
Mchungaji Atekwa juu kwa juu na kutupwa ktk land Cruiser lisilo na namba... rangi ya ..

Wananchi watoa ushuhuda kuwa bodaboda waliamua kulifukuza ambapo Land Cruiser iligonga mtu bila kusimama wakati gari hilo la watu wasiojulikana wakitoweka na mateka wake .......

Bodaboda waliendelea kulifukuza hadi eneo la Kisongo ambapo Land Cruiser likasimama lilipoona linafuatiliwa na bodaboda, na watekaji hao walitoa bunduki kuwatishia bodaboda hao ..

Naye balozi wa eneo mzee Jacob Gumbo asema alipewa taarifa kuwa ....

Mchungaji Stephen Jacob Gumbo ni maarufu pia kwa kuzungumzia masuala ya kisiasa na kijamii ya Tanzania mtandaoni YouTube na kutoa utabiri wa maono anayopewa kupitia account ya Huduma ya Kristo YouTube pamoja ya kuwa anatoa huduma za kiroho za kiimani katika kanisa...

Balozi na wananchi wafuatilia suala hilo Polisi na kuambiwa wanafuatilia tukio hilo ...

Huko Arusha mkuu wa mkoa si Albert Bashite?
 
Mchungaji wa kanisa Huduma ya Kristo lililopo mtaa wa FFU kata ya Murieti Jiji Arusha Steven Jacob mwenye umri wa mika 35 ametekwa na watu wasiojulikana asubuhi ya leo Tarehe 16 May 2025 wakati akitoka nyumbani kwake

Wakizungumza mashuhuda na majirani wa eneo hiyo akiwemo baba yake mzazi ambaye ni balozi wa CCM katika shina hilo wamesema waliomteka walifika na gari aina ya Land Cruser lisilokua na namba za usajili ambapo walimkokota kwa nguvu huku mchungaji huyo akipiga kelele za kutekwa lakini haikusaidia na walimtupa kwenye gari kisha kuondoka nae

Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa:
Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Siku chache zilizopita Mch Jacob alizungumzia suala la askari waliofariki kwa kupigwa na ajali mereran na kudai kuwa tukio hilo ameonyeshwa na Mungu kuwa ni njia ya kuwakumbusha kutenda haki na kujithmini.

Kwa Njia ya simu tulimtafuta kamanda wa Polisi ili kuthibitisha tukio hilo lakini simu zake hazikupokelewa lakini mwenyekiti wa mtaa amekiri kutokea kwa utekaji katika mtaa wake

View: https://m.youtube.com/watch?v=bBaVuu1cT40&

Huyo mbwa ni tapeli siyo mchungaji. Anadandia matukio mbn hakulisema kabla? Radi haijaanza kuua hao polisi, inaua kila leo. Imefikia hatua watu mnashangilia polisi kufa? Ni aibu
 
Mchungaji wa kanisa Huduma ya Kristo lililopo mtaa wa FFU kata ya Murieti Jiji Arusha Steven Jacob mwenye umri wa mika 35 ametekwa na watu wasiojulikana asubuhi ya leo Tarehe 16 May 2025 wakati akitoka nyumbani kwake

Wakizungumza mashuhuda na majirani wa eneo hiyo akiwemo baba yake mzazi ambaye ni balozi wa CCM katika shina hilo wamesema waliomteka walifika na gari aina ya Land Cruser lisilokua na namba za usajili ambapo walimkokota kwa nguvu huku mchungaji huyo akipiga kelele za kutekwa lakini haikusaidia na walimtupa kwenye gari kisha kuondoka nae

Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Siku chache zilizopita Mch Jacob alizungumzia suala la askari waliofariki kwa kupigwa na ajali mereran na kudai kuwa tukio hilo ameonyeshwa na Mungu kuwa ni njia ya kuwakumbusha kutenda haki na kujithmini.

Kwa Njia ya simu tulimtafuta kamanda wa Polisi ili kuthibitisha tukio hilo lakini simu zake hazikupokelewa lakini mwenyekiti wa mtaa amekiri kutokea kwa utekaji katika mtaa wake

View: https://m.youtube.com/watch?v=bBaVuu1cT40&

Alipata alichostahili!
 
Ni dhahiri nchi imefika kubaya sasa
 
Ya faza kitima na mdude hayajapoa limekuja la mchungaji amani iko wapi
 
Back
Top Bottom