LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Haahaa huyu alimtabiria mama kuondoka akigombea, hapo 100 wahusika ni walewale... Duh wakianza kutekwa wanaccm SI itakuwaje
Duh, jamani kiukweli nchi imevurugikaaa, wakati mama anaingia matumaini yalikuwa makubwa sana as time goes duhView attachment 3336603
View attachment 3336604
PRESIDENT’S OFFICE LINKED TO SUSPICIOUS VEHICLE TRAILING HECHE tanzania. We are getting closer to linking
enforced disappearances modus operandi with authorities specifically Suluhu Hassan‘s officeThis vehicle is the same make of vehicle used in several cases Yesterday it was trailing john who is on high alert since his Chair Tundu Lisu was detained With some follow up we now have this plate number insured by the PO yet registered for private use!The whole system is compromised and needs an overhaul!
from maria sarungi
Mchungaji wa kanisa Huduma ya Kristo lililopo mtaa wa FFU kata ya Murieti Jiji Arusha Steven Jacob mwenye umri wa mika 35 ametekwa na watu wasiojulikana asubuhi ya leo Tarehe 16 May 2025 wakati akitoka nyumbani kwake
Wakizungumza mashuhuda na majirani wa eneo hiyo akiwemo baba yake mzazi ambaye ni balozi wa CCM katika shina hilo wamesema waliomteka walifika na gari aina ya Land Cruser lisilokua na namba za usajili ambapo walimkokota kwa nguvu huku mchungaji huyo akipiga kelele za kutekwa lakini haikusaidia na walimtupa kwenye gari kisha kuondoka nae
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Siku chache zilizopita Mch Jacob alizungumzia suala la askari waliofariki kwa kupigwa na ajali mereran na kudai kuwa tukio hilo ameonyeshwa na Mungu kuwa ni njia ya kuwakumbusha kutenda haki na kujithmini.
Kwa Njia ya simu tulimtafuta kamanda wa Polisi ili kuthibitisha tukio hilo lakini simu zake hazikupokelewa lakini mwenyekiti wa mtaa amekiri kutokea kwa utekaji katika mtaa wake
View: https://m.youtube.com/watch?v=bBaVuu1cT40&
Duuuuuu......!
Nani ni hakuna kitu dogo??Sifuri ni nini
Maana yake hakuna kitu.....
Sifuri ni nini
Maana yake hakuna kitu....
Namba hasi...
Ni pungufu zaidi ya sifuri
Namba hasi...
Ni pungufu zaidi ya hakuna...
😂😂😂😂😂 Vishu unanigombanisha na watu ujueNani ni hakuna kitu dogo??
Unataka kusema polisi ni sifuri?? Hawana akili?
We dogo umeichoka biashara yako ya kuingiza nyimbo kwenye flash.
Duuh hatari sana hii kama ni kweliView attachment 3336603
View attachment 3336604
PRESIDENT’S OFFICE LINKED TO SUSPICIOUS VEHICLE TRAILING HECHE tanzania. We are getting closer to linking
enforced disappearances modus operandi with authorities specifically Suluhu Hassan‘s officeThis vehicle is the same make of vehicle used in several cases Yesterday it was trailing john who is on high alert since his Chair Tundu Lisu was detained With some follow up we now have this plate number insured by the PO yet registered for private use!The whole system is compromised and needs an overhaul!
from maria sarungi
Watekaji wa Mama
Mambo ni magumu sanaMchungaji wa kanisa Huduma ya Kristo lililopo mtaa wa FFU kata ya Murieti Jiji Arusha Steven Jacob mwenye umri wa mika 35 ametekwa na watu wasiojulikana asubuhi ya leo Tarehe 16 May 2025 wakati akitoka nyumbani kwake
Wakizungumza mashuhuda na majirani wa eneo hiyo akiwemo baba yake mzazi ambaye ni balozi wa CCM katika shina hilo wamesema waliomteka walifika na gari aina ya Land Cruser lisilokua na namba za usajili ambapo walimkokota kwa nguvu huku mchungaji huyo akipiga kelele za kutekwa lakini haikusaidia na walimtupa kwenye gari kisha kuondoka nae
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Siku chache zilizopita Mch Jacob alizungumzia suala la askari waliofariki kwa kupigwa na ajali mereran na kudai kuwa tukio hilo ameonyeshwa na Mungu kuwa ni njia ya kuwakumbusha kutenda haki na kujithmini.
Kwa Njia ya simu tulimtafuta kamanda wa Polisi ili kuthibitisha tukio hilo lakini simu zake hazikupokelewa lakini mwenyekiti wa mtaa amekiri kutokea kwa utekaji katika mtaa wake.
Inasemekana hiki ndio kilichofanya bwana mchungaji atekwe na watu wasiojulikana..
HakikaMitano Tena Kwa mama!
Kazi na utu tunasonga mbele!
Mno