PreGE2025 Mchungaji Mwl Steven Jacob atekwa na watu wasiojulikana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Haahaa huyu alimtabiria mama kuondoka akigombea, hapo 100 wahusika ni walewale... Duh wakianza kutekwa wanaccm SI itakuwaje
 
Duh, jamani kiukweli nchi imevurugikaaa, wakati mama anaingia matumaini yalikuwa makubwa sana as time goes duh
 
Nikimuangalia tu namuona tapeli,

Anatafuta engagement kwa nguvu,

Wamama wa Arusha wamevaa vzr namna hiyo tena kwenye tukio la kushtukiza

Utapeli tu hapo
 
Wamtumainio Bwana ni Kama Mlima Sayuni
 
Uzuri Mungu anayetumikiwa na Steven Jackob ni hai, SI mfu.

Petro, Mtume Paul walipitia utekaji na mateso aina hii lakini waliyashinda.

Tusubiri
 
Sifuri ni nini
Maana yake hakuna kitu.....

Sifuri ni nini
Maana yake hakuna kitu....

Namba hasi...
Ni pungufu zaidi ya sifuri

Namba hasi...
Ni pungufu zaidi ya hakuna...
Nani ni hakuna kitu dogo??

Unataka kusema polisi ni sifuri?? Hawana akili?
We dogo umeichoka biashara yako ya kuingiza nyimbo kwenye flash.
 
Chuga hiyo!! Bora dara hata watu huwa wanarekodi, ila huko wamesikia mayowe tu.
Hata smartphone za mkopo hawana aisee.
 
Duuh hatari sana hii kama ni kweli
 
Wakati sheria ya wasiojulikana inafanyiwa marekebisho watu Wenyeakili walitahadharisha sana lakini watu walikaa kimya waliona ni siasa tu. Haya ndo madhara ya Ile sheria manake sasa hivi wasiojulikana wanakinga kwachochote watakachokifanya. Siku zote chizi anachekesha akiwa sio ndugu yako, hakuna noma tuendelee kutulia mpaka tufikiwe wote ndo tutastuka.
 
Mambo ni magumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…