Mchungaji na mkewe wanusurika kuuawa

Mchungaji na mkewe wanusurika kuuawa

Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima(Warumi 13:7).

Sio heshima Mchungaji ashuke, aondoe gogo, mimi nibaki nimekaa tu ndani ya gari.
Bwana Yesu Alipokwisha Kula Chakula Na Wafuasi wake, ALIWAOSHA Miguu Yao!
 
Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima(Warumi 13:7).

Sio heshima Mchungaji ashuke, aondoe gogo, mimi nibaki nimekaa tu ndani ya gari.
Walokole ,walokole
 
Umetoa taarifa kwa Mambosasa?
Sina namba za Wakuu. Ila tulimpigia "simu" Mungu akatusaidia saa hiyohiyo kama alivyoahidi katika Yeremia 33:3:

"Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua"​

Haaa haaa haaa mchungaji mjanja sana, kakwambia we ushuke ukatoe gogo why hakwenda yeye
 
Mungu alikuokoa wewe ambaye huyo Mchungaji wako aliamua kukutoa sadaka.

Wachungaji wengi ni waizi na wauwaji inawezekana mchongo wote aliufanya yeye, omba ili upewe maono.

Na ukiendelea naye he will kill you direct
 
Wachungaji wengi ni waizi na wauwaji inawezekana mchongo wote aliufanya yeye, omba ili upewe maono.
Hapana, mkuu. Huyo Mchungaji ni mwema sana. Amewasaidia watu wengi kiroho na kimwili. Hatangulizi pesa mbele.
 
Hii story ni ya uongo, Kama ukitaka kuwasaidia wananchi ungesema ni wapi kisa hicho kimetokea, lini na kuwapa watu tahadhari vinginevyo ni kutafuta Kiki tu
 
Back
Top Bottom