Mchungaji ameongea kwa hisia kali, lakini ni muhimu tukumbuke kuwa tayari Rais Samia alishatoa katazo mahsusi tusichanganye siasa na dini
Katika mahubiri yake akiwa kanisani, mchungaji huyo alizungumzia uchaguzi ujao, akieleza kushangazwa na wasomi na baadhi ya wabunge wanaoanza kampeni za “mitano tena.” Alisema wazi kuwa huu si wakati wa kudanganyana, bali ni wakati wa Rais mwenyewe kuketi na Mungu, kumwomba kibali cha kuendelea kuongoza, Alisisitiza kuwa mamlaka na kibali cha kuongoza hutoka kwa Mungu peke yake, si kwa kauli za kisiasa au shinikizo la watu
Hata hivyo, kauli hii inaibua maswali juu ya mipaka ya dini na siasa, hasa ikizingatiwa kuwa kanisa linapaswa kuwa mahali pa kujenga maadili, si jukwaa la kampeni za kisiasa