Na yeye aache kuwaibia maskini kupitia sadaka na michango ya kihuni.Mchungaji ameongea kwa hisia kali, lakini ni muhimu tukumbuke kuwa tayari Rais Samia alishatoa katazo mahsusi tusichanganye siasa na dini
Katika mahubiri yake akiwa kanisani, mchungaji huyo alizungumzia uchaguzi ujao, akieleza kushangazwa na wasomi na baadhi ya wabunge wanaoanza kampeni za “mitano tena.” Alisema wazi kuwa huu si wakati wa kudanganyana, bali ni wakati wa Rais mwenyewe kuketi na Mungu, kumwomba kibali cha kuendelea kuongoza, Alisisitiza kuwa mamlaka na kibali cha kuongoza hutoka kwa Mungu peke yake, si kwa kauli za kisiasa au shinikizo la watu
Hata hivyo, kauli hii inaibua maswali juu ya mipaka ya dini na siasa, hasa ikizingatiwa kuwa kanisa linapaswa kuwa mahali pa kujenga maadili, si jukwaa la kampeni za kisiasa
Wasomi wameamua kuwa Chawa na si kutumia elimu Yao km kichocheo Cha maendeleo Kwa taifaa😮💨akieleza kushangazwa na wasomi
Alishafukuzwa uaskofu kwa kuzaa nje ya ndoaUliwahi kumsikia Askofu Desmond Tutu na juhudi zake ukombozi wa Afrika Kusini?
Naunga mkono hoja,hiki anachokisema huyu mchungaji, ndicho mimi nilichokisema hapa Pre GE2025 - Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!Katika mahubiri yake akiwa kanisani, mchungaji huyo alizungumzia uchaguzi ujao, akieleza kushangazwa na wasomi na baadhi ya wabunge wanaoanza kampeni za “mitano tena.” Alisema wazi kuwa huu si wakati wa kudanganyana, bali ni wakati wa Rais mwenyewe kuketi na Mungu, kumwomba kibali cha kuendelea kuongoza, Alisisitiza kuwa mamlaka na kibali cha kuongoza hutoka kwa Mungu peke yake, si kwa kauli za kisiasa au shinikizo la watu
Na Samia na Serikali yake wanaowaibia Watanzania kwa mitataba feki kama ya akina DP world wapo sawa?Na yeye aache kuwaibia maskini kupitia sadaka na michango ya kihuni.
Asante kwa kuonesha ukomavu. Kama yeye ndiye basi atakuwa yeye na kama siye basi aliye ndiye atakuwa ndiyeNaunga mkono hoja,
P
Kristo mwenyewe alikosoa tawala zilizoboronga hadi wakamshaki na kumsulubisha. Kama Kristo mwenye alikosoa tawala unataka Mchungaji asikosoe? tangu zamani za Manabii kazi yao kubwa ilikuwa kuwakosoa na kuwapa onyo Watawala pale walipo chemka.Waumini hameni hilo kanisa katafuteni makanisa yaliyotulia yanayohubiri habari za Kristo sio za Mama Samia kama huyo mchungaji mjinga anavyohubiri
Hili nalo neno.Ila tabia hii watu waache
Muhula uliopita watu walisema akikataa watamlazimisha
Wengine wakamuita Mungu kabisa
Naunga mkono hoja ya kibali, nami niliizungumza hapa Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?ni wakati wa Rais mwenyewe kuketi na Mungu, kumwomba kibali cha kuendelea kuongoza, Alisisitiza kuwa mamlaka na kibali cha kuongoza hutoka kwa Mungu peke yake, si kwa kauli za kisiasa au shinikizo la watu
KabisaKristo mwenyewe alikosoa tawala zilizoboronga hadi wakamshaki na kumsulubisha. Kama Kristo mwenye alikosoa tawala unataka Mchungaji asikosoe? tangu zamani za Manabii kazi yao kubwa ilikuwa kuwakosoa na kuwapa onyo Watawala pale walipo chemka.