Pre GE2025 Mchungaji ndio alimpeleka Abdul kwa Makamu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Duuuuu, umeua.
Wekeni video huku tutete nae msaliti mkubwa yule
 
Hahaha, hai make sense kabisa...

Nyinyi muwe na uchafu wa Msigwa halafu mkae kimya?
Wewe shida yako ni ukosefu wa busara hivyo unadhani wengine nao hawana busara.
Kwa taarifa yako tanzania mwanasiasa mwenye busara iliyozidi kipimo ni mbowe
 
Mtajuana wenyewe kenge nyie.
AsanteπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Lissu amseme HADHARANI huyo Mtu aliyempeleka Abdul kwake kwa lengo la kwenda kumhonga.
Ni Msigwa ila muda wa kumtaja haujatimia
Tuu
kama Mbwai na iwe mbwai, mwaga video aumbuke
Muda haujatimia.. Vita bado kuna silaha si za kutumia sasa
Si ulisema Polepole alikuwa anahonga wapinzani, umesahau?
Indio nilisema
Tuupe muda wakati
Mbona Nimesikia Wenje?
Muda utasema lakini wawili hao wanahusika
 
Tunampinga mwandishi kwa vile ukisikiliza anazungumzia huyo aliyempeleka Abdul kwake yupo CDM. Je, Msigwa yupo CDM sasa? Mshana Jr unajiangusha. Bora kuwa kimya ili utunze heshima yako
Upe muda wakati njinjo na usitake kunifunga mdomo kwa kigezo cha heshima
 
Msigwa ndo muasisi wa rusha ndani ya chadema.
Narudia namfahamu msigwa na namjua.
Yeye ni mpenda pesa na ngoneka na kondoo wake.
Naweza kuweka ushahidi mkihitaji
expand...Msigwa ndo muasisi wa rusha ndani ya chadema.
Narudia namfahamu msigwa na namjuaπŸ‘ŒπŸΏπŸ™πŸΎ.
 
Ni kwavile tu hatukuwa makini kumwangalia mchungwji siku ile Lissu anaongea kuhusu pesa chafu lakini mlengwa alipata taharuki kwa vyovyote
Clip za tukio hazipo? Leteni tuangalie wenyewe.
 
Asante kwa taarifa mkuu, lakini mwenye kuweza kuthibitisha ukweli kuhusu muhusika wa tukio ni Lissu mwenyewe na nadhani kunapoendea ukweli utawekwa wazi kabisa.
Kwenye siasa ni nadra sana hiki unachotaka kiwe.
 
Mtajuana wenyewe kenge nyie.
AsanteπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Lissu amseme HADHARANI huyo Mtu aliyempeleka Abdul kwake kwa lengo la kwenda kumhonga.
Ni Msigwa ila muda wa kumtaja haujatimia
Tuu
kama Mbwai na iwe mbwai, mwaga video aumbuke
Muda haujatimia.. Vita bado kuna silaha si za kutumia sasa
Si ulisema Polepole alikuwa anahonga wapinzani, umesahau?
Indio nilisema
Tuupe muda wakati
Mbona Nimesikia Wenje?
Muda utasema lakini wawili hao wanahusika
Tunampinga mwandishi kwa vile ukisikiliza anazungumzia huyo aliyempeleka Abdul kwake yupo CDM. Je, Msigwa yupo CDM sasa? Mshana Jr unajiangusha. Bora kuwa kimya ili utunze heshima yako
Upe muda wakati njinjo na usitake kunifunga mdomo kwa kigezo cha heshima
Msigwa ndo muasisi wa rusha ndani ya chadema.
Narudia namfahamu msigwa na namjua.
Yeye ni mpenda pesa na ngoneka na kondoo wake.
Naweza kuweka ushahidi mkihitaji
expand...Msigwa ndo muasisi wa rusha ndani ya chadema.
Narudia namfahamu msigwa na namjua.
Clip za tukio hazipo? Leteni tuangalie wenyewe.
 
Hivi anavyohangaika sasa Msigwa ni kutokana na mambo mawili makubwa
1. Kupigwa chini kwenye uchaguzi
2. Kushindwa kumshawishi Lissu apokee rushwa
Kuna mengine madogodogo lakini hayo ndio makubwa
Siasa na wanasiasa, katika moja na mbili!, Ni shida kweli kweli!
 
Tunampinga mwandishi kwa vile ukisikiliza anazungumzia huyo aliyempeleka Abdul kwake yupo CDM. Je, Msigwa yupo CDM sasa? Mshana Jr unajiangusha. Bora kuwa kimya ili utunze heshima yako
Abdul na huyo kiongozi walioenda kwa Lisu kumhonga siyo sahizi, ilikuwa kabla Lisu hajaenda Ubelgiji, na Msigwa alikuwa bado hajaondoka CHADEMA.
 
Uongo! Masuala ya rushwa za Abdul katika kumpa hela Sugu alizisema akiwa yupo Iringa kwa mara ya kwanza. Hapo hata Uchaguzi ulikuwa bado.
 
AsanteπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ

Ni Msigwa ila muda wa kumtaja haujatimia

Tuu

Muda haujatimia.. Vita bado kuna silaha si za kutumia sasa

Indio nilisema

Tuupe muda wakati

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
MshanaJR Hebu fikiria! Mtu ana uhasama na sugu kwa vile amepewa hela za kuhonga na Abdul. Kesi ipo Kamati kuu, leo alete pesa ampe Msigwa na Msigwa ampeleke Abdul kwa Lissu aliyetamka hadharani akiwa Iringa? Think twice. Mnataka kumchafua Msigwa kwa vile amekimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…