brownjosephati
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 549
- 674
Duuuuu, umeua.Nilimuomba Lissu mapema ataje aliyempelekea Abdul nikimlenga Msigwa moja kwa moja, kwa vile kikichomkimbiza Chadema ni video zake za kugawa rushwa kwenye Kanda.
Mbowe huyu anayetukanwa ndio amezuia kusambazwa Video za Aibu za Msigwa akigawa rushwa ili kumuokoa.
Hata hivyo akiendelea na ujinga tutavunja protocol
Wekeni video huku tutete nae msaliti mkubwa yule