Mchungaji Patrick Kigava: Suala la ufungwaji wa kanisa la Ufufuo na uzima halikutenda haki

Mchungaji Patrick Kigava: Suala la ufungwaji wa kanisa la Ufufuo na uzima halikutenda haki

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mchungaji wa kanisa la Redeemed Assemblies of God Tanzania RAGT Patrick Seif Kigava, amekosoa hatua za kufungwa hadi kufunguliwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima chini ya Askofu wake mkuu Mchungaji Dr. Josephat Gwajima akisema kufungwa kwa kanisa hilo hakukuwa kwa haki.
 
Back
Top Bottom