Vyama vya siasa ni sawa na klabu za mpira bila pesa ni kazi bure huwezi kufika popote pale. !!Tundu Antipas Lisu safarini Nccr
Matarajio yako ulitaka yawe..."MSIGWA ALETA MEGAWATI LAKI SABA ZA UMEME KUTOKA IRINGA"...(?)Bahati mbaya sana kwetu sote, kwamba hizi ndizo habari muhimu kutoka ndani ya chama hiki wakati kama huu!
Acha CCM iendelee kutufanya mateka.
Amefanya udikteta uchwara gani tena huyo Msigwa?Udikteta ndani ya chama, imagine wakishika dola!
Inachapishwa fomu moja tu.Ndani ya Ccm pia ni marufuku mwanachama mwingine kuchukua fomu ya kushindana na Mwenyekiti wa Chama ! π π
Mbona hayo ya "MEGAWATI" umeyawaza wewe!Matarajio yako ulitaka yawe..."MSIGWA ALETA MEGAWATI LAKI SABA ZA UMEME KUTOKA IRINGA"...(?)
NB;Kila habari huenda kwa muda na muktadha wake.Usiyavute masikio juu kusikiliza harufu badala ya sauti.
Sasa km walijua ni propaganda wanajibu nn. Si wafanye vitendoHakika dawa ya mtu muongo huwa ni fupi sana.
Kumekuwepo na propaganda chafu zikienezwa kwa makusudi na watu kutoka ccm kwa makusudi ili kuleta mpasuko ndani ya CDM.
Wanasema eti Msigwa anataka kumpindua mwenyekiti wa taifa wa CDM MH Mbowe.
Hizi ni propaganda za majitaka njia za hovyo na nikuonyesha kuwa CCM hawajiamini wakati wapo kwenye uongozi kwa zaidi ya miaka 60.
CCM kamwe hawawezi kuichagulia CDM viongozi hata siku moja.
Kama wanataka kuwachagulia viongozi waendelee na vyama vyao vya mfukoni maana vipo vingi.View attachment 2967396