Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa abainisha kuwa hakuna mpango wa kugombea uongozi ngazi ya taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM kamwe hawawezi kuichagulia CHADEMA viongozi hata siku moja.

Siku ukija kugundua michezo ya DJ nadio utajua ujui!.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA bila ya mabadiliko ya Uongozi wa Juu kabisa, ni hasara tu kwa Taifa la Sasa.

Mbowe anapaswa ang'oke, na sio wakugombanishwa kwa kura kwenye Uchaguzi wa Uenyekiti CHADEMA. 20yrs? Ana lipi jipya?

Apotezwe tu
 
Hakika dawa ya mtu muongo huwa ni fupi sana.

Kumekuwepo na propaganda chafu zikienezwa kwa makusudi na watu kutoka CCM kwa makusudi ili kuleta mpasuko ndani ya CHADEMA.

Wanasema eti Msigwa anataka kumpindua mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA MH Mbowe.

Hizi ni propaganda za majitaka njia za hovyo na nikuonyesha kuwa CCM hawajiamini wakati wapo kwenye uongozi kwa zaidi ya miaka 60.

CCM kamwe hawawezi kuichagulia CHADEMA viongozi hata siku moja.

Kama wanataka kuwachagulia viongozi waendelee na vyama vyao vya mfukoni maana vipo vingi.

Inaonekana mmepiga bangi mkala kwa kudhani ni mchicha inawadhuru CCM na kugombea kwa msigwa kunawahusu nini anagombee kama asubuhi hatutomuokota misitu ya mashamba ya chai mufindi mwenyekiti hapendi challenge kabisa!
 
Kwa nini unakuwa chawa?
 
CHADEMA bila ya mabadiliko ya Uongozi wa Juu kabisa, ni hasara tu kwa Taifa la Sasa.

Mbowe anapaswa ang'oke, na sio wakugombanishwa kwa kura kwenye Uchaguzi wa Uenyekiti CHADEMA. 20yrs? Ana lipi jipya?

Apotezwe tu
Kang'oe kwanza magego yako ndiyo uwapangie CDM nini cha kufanya
 
Inaonekana mmepiga bangi mkala kwa kudhani ni mchicha inawadhuru CCM na kugombea kwa msigwa kunawahusu nini anagombee kama asubuhi hatutomuokota misitu ya mashamba ya chai mufindi mwenyekiti hapendi challenge kabisa!
Endelea kulinda kaburi hapo lubondo
 
Hakika dawa ya mtu muongo huwa ni fupi sana.

Kumekuwepo na propaganda chafu zikienezwa kwa makusudi na watu kutoka CCM kwa makusudi ili kuleta mpasuko ndani ya CHADEMA.

Wanasema eti Msigwa anataka kumpindua mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA MH Mbowe.

Hizi ni propaganda za majitaka njia za hovyo na nikuonyesha kuwa CCM hawajiamini wakati wapo kwenye uongozi kwa zaidi ya miaka 60.

CCM kamwe hawawezi kuichagulia CHADEMA viongozi hata siku moja.

Kama wanataka kuwachagulia viongozi waendelee na vyama vyao vya mfukoni maana vipo vingi.

Asee d.j mbowe hiyo nafasi atakufa nayo
 
Mchungaji Msigwa na Tundu Antipas Lisu wanakwenda NCCR mageuzi
Huyu mchungaji huyu huyu? Mbona kama ni chawa wa Mbowe anayetumika kuwatisha wenzake wasithubutu kuchukua fomu za uenyekiti.

Lissu aende zake NCCR akajaribu kujenga upinzani wa kweli, baadaye waungane na ACT wachukue nchi.

Kwa utapeli wa Mbowe siioni CDM ikifika kokote long term.
 
Kama ambavyo ndani ya CCM mgombea wao ametayarishiwa form moja tu
 
Huo ni udikteta pia. Ulianza na Kikwete ambaye alikuwa hajiamini na urais wake, waliofuata nao wameishia kuwa na hofu kwa sababu ya makosa wanayoyafanya katika ungwe yao ya kwanza.
 
Back
Top Bottom