Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mchungaji Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA na kujiunga CCM Juni 30, 2024 amewataka wananchi wawachague wagombea wa CCM kwasababu vyama vya upinzani hazina sifa, hawana uhalali wakuikosoa Serikali ya Chama cha Mapinduzi.
"Nimekaa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) zaidi ya miaka 20 na nimekuwa kiongozi mwandamizi, mjumbe wa kamati kuu, nyinyi mlinipa Ubunge kwa miaka 10, nimekua kiongozi wa kanda hii yenye mikoa mitano, ninaijua hii kanda vizuri, nakijua chama (CHADEMA) vizuri. Yale ambayo waliwaaminisha Wananchi kwamba kuna Demokrasia, kuna haki, kuna kukemea ufisadi kuna kupinga rushwa ilikuwa ni uongo, hawana uhalali huo."
Soma: