Mchungaji Peter Msigwa awaomba radhi Wanachadema wa Iringa, awaita mbele wamchunia

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Kwenye Viwanja vya Mwembetogwa leo Jumamosi Juni 13, 2026, wakati wa Mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tanzania bara Bw. John Heche, Mwanachama wa Chadema na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini Mch. Peter Saimon Msigwa amewaomba radhi wananchi wa Jimbo hilo kutokana na maamuzi yake ya kukikimbia Chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi wakati wa Uchaguzi Mkuu, akisema anajutia kwa maamuzi aliyoyafanya yakitokana na ubinafsi uliomfanya kuchukua uamuzi aliouchukua hapo awali.

"Ninyi wananchi wa Iringa ndio mlioniweka kwenye ramani ya siasa Tanzania, nimesimama mbele yenu kwa unyenyekevu mkubwa sana kuwaomba radhi. Nilikimbia vita katikati ya matatizo, sikupaswa kufanya yale maamuzi niliyoyafanya pamoja na kwamba inawezekana niliumizwa ila nilipaswa kuangalia picha kubwa ya kutetea haki za wanyonge, kuwa sauti ya wasiokuwa na sauti, sina maneno mazuri sana, naomba mniwie radhi. Hakuna maisha magumu kama kuishi kwa wakwe, nilikuwa ukweni." Amesema Mch. Msigwa.

Msigwa akirejea historia kadhaa katika Kitabu kitakatifu cha Biblia, amesema awali alijali zaidi ubinafsi "ego" yake, akiahidi kuwa sasa atakuwa kama simba aliyepoteza watoto wake katika kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi CCM kinang'oka madarakani.
 
Kwanza hiyo tone anayoongea nayo sio yakuombea msamaha.
Alitakiwa alie atoe na machozi.
 
Huyu mchungaji ,angekuwa anamaikiliza Mungu ndani yake asingerudi chadema Ila angeondoka CCM Na kurudi iringa kuomba msamaha Kwa waja ,Na Kisha angestaafu siasa Kwa kuonesha Kwamba anatubu Na Kwa Mungu pia, Zaidi kama Kuna watu anawaongoza kiroho basi Mungu anajaribu kuongea nao Kwa kumnyima hekima hiyo, anawaonyeaha Kwamba huyu si mchungaji mwema
 
Wakijua siasa ni mchezo mchafu watamsamehe.
 
Jeshi la polisi limeoza
Hao wanaomlinda hapo wakoje?
 
Huyu mchungaji ,angekuwa anamaikiliza Mungu ndani yake asingerudi chadema Ila angeondoka CCM Na kurudi iringa kuomba msamaha Kwa waja ,Na Kisha angestaafu siasa Kwa kuonesha Kwamba anatubu Na Kwa Mungu pia, Zaidi kama Kuna watu anawaongoza kiroho basi Mungu anajaribu kuongea nao Kwa kumnyima hekima hiyo, anawaonyeaha Kwamba huyu si mchungaji mwema
Nilikuwa najua mi sina aibu kabsa ila msigwa kanizidi.
Ina maana hana akili ya chochote zaid ya siasa!
 
Back
Top Bottom