Kilichomkuta Msigwa ndio kile kile kilimkuta Dr Slaa, Siasa za Tanzania ni ngumu sanaHuyu alishamwagia pilau upupu....
Wakijua siasa ni mchezo mchafu watamsamehe.Kwenye Viwanja vya Mwembetogwa leo Jumamosi Juni 13, 2026, wakati wa Mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tanzania bara Bw. John Heche, Mwanachama wa Chadema na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini Mch. Peter Saimon Msigwa amewaomba radhi wananchi wa Jimbo hilo kutokana na maamuzi yake ya kukikimbia Chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi wakati wa Uchaguzi Mkuu, akisema anajutia kwa maamuzi aliyoyafanya yakitokana na ubinafsi uliomfanya kuchukua uamuzi aliouchukua hapo awali.
"Ninyi wananchi wa Iringa ndio mlioniweka kwenye ramani ya siasa Tanzania, nimesimama mbele yenu kwa unyenyekevu mkubwa sana kuwaomba radhi. Nilikimbia vita katikati ya matatizo, sikupaswa kufanya yale maamuzi niliyoyafanya pamoja na kwamba inawezekana niliumizwa ila nilipaswa kuangalia picha kubwa ya kutetea haki za wanyonge, kuwa sauti ya wasiokuwa na sauti, sina maneno mazuri sana, naomba mniwie radhi. Hakuna maisha magumu kama kuishi kwa wakwe, nilikuwa ukweni." Amesema Mch. Msigwa.
Msigwa akirejea historia kadhaa katika Kitabu kitakatifu cha Biblia, amesema awali alijali zaidi ubinafsi "ego" yake, akiahidi kuwa sasa atakuwa kama simba aliyepoteza watoto wake katika kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi CCM kinang'oka madarakani.
Dr Slaa alifika Bei.Kilichomkuta Msigwa ndio kile kile kilimkuta Dr Slaa, Siasa za Tanzania ni ngumu sana
Huyo Msigwa alitakiwa hata apigwe mawe. Mpuuzi sana huyo, watu wanaumizwa kwa ajili ya kutetea haki, anakwenda kuungana nao na kukiponda chama, anarudi na kujifanya kuomba misamaha ya kinafiki baada ya kukosa cheo.
Jeshi la polisi limeozaKwenye Viwanja vya Mwembetogwa leo Jumamosi Juni 13, 2026, wakati wa Mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tanzania bara Bw. John Heche, Mwanachama wa Chadema na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini Mch. Peter Saimon Msigwa amewaomba radhi wananchi wa Jimbo hilo kutokana na maamuzi yake ya kukikimbia Chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi wakati wa Uchaguzi Mkuu, akisema anajutia kwa maamuzi aliyoyafanya yakitokana na ubinafsi uliomfanya kuchukua uamuzi aliouchukua hapo awali.
"Ninyi wananchi wa Iringa ndio mlioniweka kwenye ramani ya siasa Tanzania, nimesimama mbele yenu kwa unyenyekevu mkubwa sana kuwaomba radhi. Nilikimbia vita katikati ya matatizo, sikupaswa kufanya yale maamuzi niliyoyafanya pamoja na kwamba inawezekana niliumizwa ila nilipaswa kuangalia picha kubwa ya kutetea haki za wanyonge, kuwa sauti ya wasiokuwa na sauti, sina maneno mazuri sana, naomba mniwie radhi. Hakuna maisha magumu kama kuishi kwa wakwe, nilikuwa ukweni." Amesema Mch. Msigwa.
Msigwa akirejea historia kadhaa katika Kitabu kitakatifu cha Biblia, amesema awali alijali zaidi ubinafsi "ego" yake, akiahidi kuwa sasa atakuwa kama simba aliyepoteza watoto wake katika kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi CCM kinang'oka madarakani.
Nilikuwa najua mi sina aibu kabsa ila msigwa kanizidi.Huyu mchungaji ,angekuwa anamaikiliza Mungu ndani yake asingerudi chadema Ila angeondoka CCM Na kurudi iringa kuomba msamaha Kwa waja ,Na Kisha angestaafu siasa Kwa kuonesha Kwamba anatubu Na Kwa Mungu pia, Zaidi kama Kuna watu anawaongoza kiroho basi Mungu anajaribu kuongea nao Kwa kumnyima hekima hiyo, anawaonyeaha Kwamba huyu si mchungaji mwema
Hata angekuwa DC au RC asingerudi tena CDM.Assume angekuwa waziri akiwa huko huko sisiemu?????
Wanasiasa wengi wao ni waongowaongo walaghai
Msigwa kawanyoosha machawa na bado mpaka mnye mavi nguruwe wa kizimkazi nyinyi.Nimemsikia mtu hapo kasema "Yuda ndio wewee".
Msigwa kawanyoosha machawa ya wauwaji na bado mpaka mnye mavi nguruwe wa kizimkazi nyinyi.Nilikuwa najua mi sina aibu kabsa ila msigwa kanizidi.
Ina maana hana akili ya chochote zaid ya siasa!
Akiwekwa kugombea ubunge 2030 huenda akaambulia kura moja kama atajaaliwa kupiga kura!Avumilie yatapita.. Aliwaumiza sana wengine bado wana majeraha
Hajafanya vile Kwa Bahati mbayaNilikuwa najua mi sina aibu kabsa ila msigwa kanizidi.
Ina maana hana akili ya chochote zaid ya siasa!