Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ni saccos ya mtu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tafuta pesa ucje olewa
 


swali kwanini aligombea kuwa mwenyekiti? majuzi tu
 
Ngoma ikilia sana mwisho hupasuka
 
Huyu tumbili Peter Msigwa amedata kichwani mwezi wa pili huu wimbo wake ni huo huo.
 
Huyu Pasta feki wenzako walikwenda na hiyo hoja tangu 2000 miaka 24 iliyopita tena wazito kuliko wewe wakakwama, wakaja na Udini ikadunda, wakaja na ya Ufisadi ndani ya chama wakakwama vilevile. Kwa hiyo hoja zako ni ZILIPENDWA.

Ndugu kama hujui upepo wa nini watanzania wanataka kusikia kwa sasa basi wewe ni Pasta FEKI usiyejua hata mistari katika vitabu vitakatifu inasemaje kuhusu Majira na Nyakati.

Utahangaika sana kijana - pesa ya CCM haijawahi kumwacha mtu salama.
 
Kwani wewe huoni kuwa kwa sasa CHADEMA imepoteza muelekeo, ushawishi na kupuuzwa na watanzania? Hii ndio sababu uliona hata baada ya viongozi wake wote kutupwa ndani , wananchi waliunga mkono na kusema kuwa viongozi wa CHADEMA ni wasaka Tonge tu na wachumia tumbo na wasio na ajenda za kueleweka
 
Tumbili Peter Msigwa jana amefanya sherehe kubwa sana baada ya kupata taarifa kuwa Sugu yuko mahututi kwa kipigo alichopata toka kwa Kamishna wa Polisiccm Awadh amabaye ni IGP mtarajiwa. Hizo dollar za Dulla zimemtia kiburi na ushetani huyu tumbili.
 
Niliwahi kusema haya miaka 10 iliyopita kuwa CHADEMA ni genge la "wahuni" fulani hivi.

Mbaya zaidi sio CHADEMA tu, hata CCM pia. Kwa kifupi wanasiasa wote ni matapeli kama matapeli wengine.

Nilikwishaamua miaka mingi nyuma kamwe sitampigia kura mwanasiasa yeyote yule.

Atakayechaguliwa na achaguliwe I don't care!
 
Mwambieni Msigwa aacha kuchonga mdomo kama..... Kama ameondoka chadema atulie. Aendelee na mishe nyingine. Anajidhalilisha
 
Msigwa sasa anatumia platform ya CCM kutukana Chadema lakini siyo kufafanua sera za CCM kwa wananchi.
 
Msigwa tunajua walikulawiti na kukupiga picha kisha ukapewa hela ndiyo maana uko huko tunajua kuwa mikunjo wajuba wa uvccm wameshaikunjua . Unaongea saana lakini wenzako wanakuona wewe demu wao tu
 
Kama ulikuwa hujui, hicho unachofikiri ni chama chako cha siasa; umepuyanga vibaya!! Hicho ni kikundi tu cha wahuni wachache wanaowatumia vilaza kama nyinyi, kujineemesha.
 
Lucas Mwashambwa mwambie huyo pimbi Msigwa kuwa kama yeye anaiona Chadema ni saccos basi naye ajue wale vijana wa uvccm waliotumika kumlawiti huku wakimrekodi kumshinikiza ajiunge CCM nao wanamuona yeye Msigwa kama demu wao tu. Usisahau tafadhali asifikiri hatujui mbinu iliyotumika kumlainisha. Aendelee kuchonga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…