Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa, taratibu zimefuatwa kujiuzulu Kwa Mzee Kinana?

Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa, taratibu zimefuatwa kujiuzulu Kwa Mzee Kinana?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!

Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk.

Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa,

Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako CCM, taratibu zimefuatwa?

Ikiwa taratibu hazikufuatwa, unaonaje ukihama tena CCM kutafuta chama kingine?

Karibuni Kwa maoni 🙏

PIA SOMA

- Kuelekea 2025 - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
 
Back
Top Bottom