Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kwani naye alikutwa na msimu wa covid 19?kwani Msigwa hajui? Njaa tu Msigwa ndio inayomsumbua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani naye alikutwa na msimu wa covid 19?kwani Msigwa hajui? Njaa tu Msigwa ndio inayomsumbua.
Katiba ya CCM inasema makamo mwenyekiti akiandika barua ya kujiuzulu ni lazima iidhinishwe na NEC. Baada ya hapo unaitishwa mkutano mkuu na kuchagua makamo mwengineKwani Katiba na Sheria za chama zinasemaje kuhusu Utaratibu wa Makamo Mwenyekiti CCM kujiuzulu?ni lazima
Sikufahamu kama upo utaratibu kwenye kujiuzulu zaidi ya kutoa taarifa.Salaam, Shalom!!
Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk.
Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa,
Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako CCM, taratibu zimefuatwa?
Ikiwa taratibu hazikufuatwa, unaonaje ukihama tena CCM kutafuta chama kingine?
Karibuni Kwa maoni 🙏
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Basi hawana tofauti na Peter Msigwa.Ni madaraka tu.Kwani usajili unahitaji nini,kama maokoto yapo,mali watu ipo,miundo msingi ipo.Nia ipo,nguvu ipo.Nini kimesalia?
Cc;Sir Khan & the wabishi coy.Katiba ya CCM inasema makamo mwenyekiti akiandika barua ya kujiuzulu ni lazima iidhinishwe na NEC. Baada ya hapo unaitishwa mkutano mkuu na kuchagua makamo mwengine
Mwenyekiti hana mamlaka ya kumteua au kumuengua makamo wake. Yeye siyo appointing authority
Kwa hiyo kikatiba na kisheria Kinana bado ni makamo mwenyekiti
Someni katiba ya CCM 1977 ibara ya 19(b)
Mimi najiuliza suali - Kinana amejiuzulu au amefukuzwa?
Hawezi hilo.Bado kitita alichopewa anakimega mdogomdogo kama ugali wa loya.Kama mkt kamfukuza Makamo kinyemela, basi Msigwa ahame chama mara Moja ikiwa Kweli alikwenda CCM kusaka DEMOKRASIA ya Kweli.
Hiyo ni pale unapokuwa disappointed na mtu uliyefikiri ana akili kumbe hamna kitu.MBona ukali kama wote utafikiri anasemwa mjomba hapa.
Wewe ati ni kati ya wanaoitwa wasomi wa tanzania, duuWewe hujielewi.
Tangu lini kujiuzulu kukawa na taratibu?
Wewe hujielewi.
Tangu lini kujiuzulu kukawa na taratibu?
Angeacha kuitwa Mchg maana anaudhalilisha uchungaji, siku zote Mchg ni mpatanishi wa watu na Mungu, ila huyu Mchg ni mchonganishi na mchochezi ili kulinda njaa yakeTangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk.
Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa,
Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako CCM, taratibu zimefuatwa?
Labda tuseme amejiuzulu, barua itafuata!!Katiba ya CCM inasema makamo mwenyekiti akiandika barua ya kujiuzulu ni lazima iidhinishwe na NEC. Baada ya hapo unaitishwa mkutano mkuu na kuchagua makamo mwengine
Mwenyekiti hana mamlaka ya kumteua au kumuengua makamo wake. Yeye siyo appointing authority
Kwa hiyo kikatiba na kisheria Kinana bado ni makamo mwenyekiti
Someni katiba ya CCM 1977 ibara ya 19(b)
Mimi najiuliza suali - Kinana amejiuzulu au amefukuzwa?
Tujadili HOJA,Angeacha kuitwa Mchg maana anaudhalilisha uchungaji, siku zote Mchg ni mpatanishi wa watu na Mungu, ila huyu Mchg ni mchonganishi na mchochezi ili kulinda njaa yake
Katiba ya CCM imeelekeza wazi taratibu za kufuata anapojiuzulu Makamo Mwenyekiti.Sikufahamu kama upo utaratibu kwenye kujiuzulu zaidi ya kutoa taarifa.
Tuendelee kunywa mtori, HAKIKA nyama tutazikuta chini🤔Naibandika kama nilivyoipata kutoka Kigogo Media Updates:
(✍🏻 na mchambuzi wetu)
LIMETUMIKA NENO KAJIUZULU KWA HESHIMA TU LAKINI DULLA KINANA KAFUKUZWA NDANI YA CCM
HUWEZI KUWA NDANI ya CCM ukawa unaratibu makundi ya uasi na mapinduzi na kudogosha viongozi wakuu halafu ukabaki salama. Huwezi kuwa ndani ya uongozi wa CCM halafu ukawa unajenga mtandao wa kuangusha serikali kimya kimya na kuweka watu kama akina January Makamba eti ndiyo wawe Rais wa Tanzania halafu ukabaki salama. HAIWEZEKANI
Dulla Kinana anawezekana ni mkubwa kwa umri n ani mzee lakini ana ubongo mdogo sana na umesinyaa mpaka kupoteza uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo na kuona hatari zilizoko mbele ya matendo yake.
Dulla Kinana alilazimika kujiuzulu Ukatibu Mkuu wa CCM wakati wa Magufuli kwa kuwa alikuwa sehemu ya mtandao wa kumhujumu Magufuli na mbaya zaidi alinaswa kwenye mawasiliano yake na akina Nape na January wakijadili na kupanga mambo ambayo wote tunajua yalipelekea kufukuzwa kwa vijana wao ndani ya serikali na Kinana kujiuzulu na kukaribia kabisa kufukuzwa uanachama ndani ya CCM.
Kosa lile lile na kwa staili ile ile mzee Dulla Kinana kalirudia lakini awamu hii kalirudia kizembe sana na ndiyo maana nina mashaka na uwezo wake kiakili na kiufahamu na kama ninachowaza ni kweli basi hakufaa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa muda mrefu tu aliokaa kuhudumu kiti hiki muhimu sana ndani ya chama tawala.
Dulla Kinana anahusika na mipango yote ya kupindua meza na kumuweka January Makamba kuwa Rais wa Tanzania 2025 na kama ikishindikana basi January Makamba alikuwa anaandaliwa kuwa Makamu wa Rais na huu ni mkakati wa kuwa lolote likitokea kwa Rais Samia basi January Makamba atakuwa Rais. Yaani napata ukakasi sana wanapokuwa wanasea lolote likitokea wana nią gani na Rais? Wana mipango gani na Rais? Inafikirisha sana sana na ni hatarikubwa mno!
Dulla Kinana ndiye aliyekuwa anaropoka huku na huko kuwa siyo utaratibu wa CCM kuwa nilazima kupishana dini za wagombea wa urais ndani ya CCM kwa maana kuwa awamu hii akiwa Rais ni muislmau basi awamu inayofuata anakuwa mkristo. Kwa minajili ya kumuweka kijana wao utamaduni huu ulikuwa unakwenda kuvunjwa na Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa CCM alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha utaratibu huu unapindishwa ili tu papai January Makamba awe Rais wa Tanzania.
Dulla Kinana anajua na alijua kila hatua ya matendo anayofanya January Makamba kuanzia kununua watu ndani ya idara ya usalama waliokuwa wanafanya kazi ya kukusanya taarifa na kumpatia kwenye nini kinafanyika ndani ya Ikulu na ofisi ya Rais na serikali kwa ujumla.
Dulla Kinana anajua jinsi January Makamba alivyoweka watu ndani ya Ikulu na kuwa watoa taarifa kwake kwenye kila kitu kinachofanyika ndani ya Ikulu.(kilichowapata watu hawa kila mtu anajua na wote ni majeruhi muda huu na wametupwa nje ya mfumo) achilia mbali wale vigogo wa idara ya usalama waliong’olewa ndani ya idara kwa kuwa walikuwa ni sehemu ya mtandao huu hatari.
Unawezaje kuwa Makamu wa Mwenyekiti wa CCM kama alivyokuwa mzee Dulla Kinana na matendo yake haya halafu ukabaki salama? Yaani unawezaje kuendeshe serikali parallel na serikali iliyopo halafu ukategemea ubakie salama?
Haya ya akina Dulla Kinana tulijua yatafika mwisho na hatukuwahi kuwa na mashaka kuwa muda utakuwa mwalimu mzuri sana na ndiyo maana hata walipotumia nguvu za giza na kukodisha majambazi yatuuwe hatukuwahi kutetereka kwa kuwa tuliamini mtetezi wetu Yesu yuko hai na atatulinda sana.
KITU CHA KUSHANGAZA sasa ni watu kama Bwana Ezekiel Kamwaga ambaye jana kuamua kuanza kutupa maangalizo kuhusu nchi hii kutokubaki salama. Amesema nikifanikiwa kwenye hili basi nchi haitakuwa salama.
Najua maumivu wanayoyapitia kwa sasa lakini nataka nimjibu kama ifuatavyo;
1. Tumefanikiwa zaidi ya sana na imepitiliza malengo kwa zaidi ya 100% kwa kuwa January Makamba mgombea wenu wa makaratasi hatakuwa Rais wa Tanzania milele. Hili ni jambo kubwa sana kuwahi kufanikiwa kwenye harakati zetu
2. Tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuondoa kansa ndani ya serikali na CCM kwa kuwaondoka Nape Nnauye,January Makamba ,Dulla Kinana ,na moles wao wote ndani ya Ikulu na ndani ya idara ya usalama ndani ya wiki 4-5 tu mtandao mzima umesambaratika na majeruhi ni wengi ajabu.
3. Tumefanikiwa kuiokoa nchi hii kuingia kwenye mikono ya watu wa hovyo waliokuwa wako tayari kutumia fedha za wizi walizonazo kwa ajili ya kukalia Ikulu ya Tanzania
4. Tumefanikiwa kutenda kazi ya kitume na ki Mungu sana kung’oa majitu ya hovyo yaliyojimilikisha CCM na kudhani CCM ni ya baba yao na mama zao wakati CCM ni ya watanzania masikini wakulima kwa wafanyakazi
5. MWISHO ambalo ni kuwa na tunajivunia sana ni kuwa TUMEFANIKIWA kuzima ndoto za majitu haya Nape Nnauye na January Makamba kuwa kuna siku mmoja atakuwa Rais na mwingine atakuwa Waziri Mkuu. Kwa kifupi tumezima ndoto zao za kisiasa kabisa na 2025 tunakata majina yao kwenye ubunge na hakuna kitu watatufanya.
Sasa bwana Kamwaga sijaelewa unataka mafanikio gani uyaone kwenye hili? Haya kwako siyo mafanikio? Shida yenu nyie watu wa January Makamba ni moja tu mnadhani kuwa mna maarifa mengi kuzidi wengine na mnadhani hizi propaganda mlizokuwa mnafanya kwenye mitandano humu ndiyo uhalisia wa mambo yalivyo. Hapana hii ilikuwa vita kali sana na shida yenu mlikuwa mnapigana huku mnapiga kelele vitani sasa mmechakazwa mnaaza kuwa na busara za kutoa maangalizo na kuionea huruma nchi hii?
Nilidhani ni vyema wakati maumivu yamewazidi muwe wapole na msitoe mlio kwa sababu wakati mlipokuwa mnatusababishia maumivu hatukuwahi kulalamika mahali na kutoa mlio tulivumilia na kuja na mbinu mbadala ya kuwapa maumivu yale yale. Sasa mnapokuwa mnatoa milio wakati nanyi mlishawahi kutuumiza na hamjaacha kutuumiza ni jambo la kushangaza kidogo. Au ndiyo mkuki kwa nguruwe?
Nadhani kama ni suala la kutobaki na nchi basi matendo yenu ndani ya nchi hii yalikuwa hatari sana na yalipaswa kushughulikiwa kwa staili hii ili nchi ibaki salama na kwa kweli imebaki salama.
Kukukumbusha tu ni kuwa bado kuna moles ndani ya serikali na CCM na muda utafika watafyekwa tu.
#KigogoMediaUpdates
Amemsema Msigwa maana ameshikilia bangoWewe nae una UPUMBAVU mwingi kichwani.Sasa Msigwa ni nani hapo ccm mpaka awajibike kueleza kama kujiuzulu kwa Kinana taratibu zimefuatwa?
Muda mwingine sio lazima kupost kama hauna maudhui(content)
Mzee jumbe alienda DODOMA kama raisi wa unguja akarudi kama raiya wa kawaida. Hapo kulikuwa na taratibu gani ikiwa alichaguliwa kwa kura?Wewe hujielewi.
Tangu lini kujiuzulu kukawa na taratibu?