Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa, taratibu zimefuatwa kujiuzulu Kwa Mzee Kinana?

Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa, taratibu zimefuatwa kujiuzulu Kwa Mzee Kinana?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani usajili unahitaji nini,kama maokoto yapo,mali watu ipo,miundo msingi ipo.Nia ipo,nguvu ipo.Nini kimesalia?
Muda uliopo unatosha kukijenga chama kuelekea uchaguzi, au watajipanga Kwa ajili ya 2030?
 
Salaam, Shalom!!

Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk.

Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa,

Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako CCM, taratibu zimefuatwa?

Ikiwa taratibu hazikufuatwa, unaonaje ukihama tena CCM kutafuta chama kingine?

Karibuni Kwa maoni 🙏
Kuachika ni shughuri, muda wote anakumbukia mitekenyo ya kwenye 6by6.
 
Back
Top Bottom