Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa, taratibu zimefuatwa kujiuzulu Kwa Mzee Kinana?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani Katiba na Sheria za chama zinasemaje kuhusu Utaratibu wa Makamo Mwenyekiti CCM kujiuzulu?ni lazima
Katiba ya CCM inasema makamo mwenyekiti akiandika barua ya kujiuzulu ni lazima iidhinishwe na NEC. Baada ya hapo unaitishwa mkutano mkuu na kuchagua makamo mwengine
Mwenyekiti hana mamlaka ya kumteua au kumuengua makamo wake. Yeye siyo appointing authority
Kwa hiyo kikatiba na kisheria Kinana bado ni makamo mwenyekiti
Someni katiba ya CCM 1977 ibara ya 19(b)
Mimi najiuliza suali - Kinana amejiuzulu au amefukuzwa?
 
Sikufahamu kama upo utaratibu kwenye kujiuzulu zaidi ya kutoa taarifa.
 
Cc;Sir Khan & the wabishi coy.
 
Angeacha kuitwa Mchg maana anaudhalilisha uchungaji, siku zote Mchg ni mpatanishi wa watu na Mungu, ila huyu Mchg ni mchonganishi na mchochezi ili kulinda njaa yake
 
Labda tuseme amejiuzulu, barua itafuata!!
 
Angeacha kuitwa Mchg maana anaudhalilisha uchungaji, siku zote Mchg ni mpatanishi wa watu na Mungu, ila huyu Mchg ni mchonganishi na mchochezi ili kulinda njaa yake
Tujadili HOJA,

Uchungaji wake tumwachie,

Nadhani ataihama tena CCM, maana Huwa hapendi taratibu na KANUNI kuchezewa🤔
 
Tuendelee kunywa mtori, HAKIKA nyama tutazikuta chini🤔
 
Wewe nae una UPUMBAVU mwingi kichwani.Sasa Msigwa ni nani hapo ccm mpaka awajibike kueleza kama kujiuzulu kwa Kinana taratibu zimefuatwa?

Muda mwingine sio lazima kupost kama hauna maudhui(content)
Amemsema Msigwa maana ameshikilia bango
 
Wewe hujielewi.

Tangu lini kujiuzulu kukawa na taratibu?
Mzee jumbe alienda DODOMA kama raisi wa unguja akarudi kama raiya wa kawaida. Hapo kulikuwa na taratibu gani ikiwa alichaguliwa kwa kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…