Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa, taratibu zimefuatwa kujiuzulu Kwa Mzee Kinana?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mch Msigwa ana historia ya kuropoka ropoka mwisho wa siku ataomba msamahaa.
 
Alifuta kauli au aliburutwa kortini..?
Kinana alitoa sharti moja tu la kufutwa kwa kauli.

Lkn mwamba Mbowe amemtaka kufuta kauli na kulipa faini ya bilioni 5. Patamu hapo!!
 
Mbowe aache udikteta, yeye ni nani asisemwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…