Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Soma Mwenyewe alichoandika mchungaji peter Msigwa,ambaye ameonekana kuwa na furaha kubwa sana tangia ameingia na kujiunga na CCM.muda wote anaonekana ni Mwenye tabasamu ,furaha na kicheko.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Soma Mwenyewe alichoandika mchungaji peter Msigwa,ambaye ameonekana kuwa na furaha kubwa sana tangia ameingia na kujiunga na CCM.muda wote anaonekana ni Mwenye tabasamu ,furaha na kicheko.
Tofauti na alipokuwa CHADEMA alikuwa muda wote amekunjamana sura kwa mawazo na msongo wa mawazo.Sasa ameingia CCM chama kilichojaa furaha , upendo na ushirikiano na kumfanya kuwa na tabasamu muda wote utafikiri Mwalimu ambaye watoto wamefaulu vizuri soma lake katika mtihani wa Taifa kidato cha Nne..tofauti na kule CHADEMA ambako vitoto vidogo vya Bavicha vilikuwa vikimkosea heshima Mtumishi huyu wa Mungu .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM