Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa: Tunazima zote tunawasha Kijani

Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa: Tunazima zote tunawasha Kijani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha ujinga wako . Kwa sasa mtumishi wa Mungu amejaa amani ndani ya moyo wake baada ya kuwa kwenye chama kinachoheshimu na kumjali kila mtu.tofauti na huko CHADEMA ambako wote ni makambale.
Wewe una nafasi gani CCM kama kinamjali kila mtu? Akina Gekul wamepita juu kwa juu wakawa mawaziri. Wewe upo tu unapiga makofi unasambaza mikono au? Akina Nasari je? Akina Lijualikali je? Hebu niambie CCM imekujali vp!
 
Nishakwambia kama hupendezwi na Lucas ukiona nyuzi zake jikate kushotoo😂
Huyu ni mshikaji wangu akitoa boko namuwakia arudi kwenye mstari,wewe kama ukiona anaharibu halafu unampa like humtendei haki. Huyu ni mwanetu lazima tumuonye.
 
Hapana tabia zako zinaashiria 🌈 ndiyo maana nakuonya kishikaji watu wengi wanakusoma hivyo,badilica unajichoresha sana. ephen_
Hapana tabia zako zinaashiria 🌈 ndiyo maana nakuonya kishikaji watu wengi wanakusoma hivyo,badilica unajichoresha sana. ephen_
Umesamehewa dhambi zako zote.enenda kwa amani ya Bwana ukawahubirie watu injili na uwe mvuvi wa watu kuwatoa kutoka dhambini.waambie watu wageuke na kumgeukia Mungu kama alivyofanya Musa kugeuka na kutizama kijiti kilichokuwa kikiwaka moto lakini hakiteketei.Mungu bado anakupenda na ana makusudi na wewe kuwepo mzima hata kama bado hujitambui
 
Umesamehewa dhambi zako zote.enenda kwa amani ya Bwana ukawahubirie watu injili na uwe mvivu wa watu kuwatoa kutoka dhambini.waambie watu wageuke na kumgeukia Mungu kama alivyofanya Musa kugeuka na kutizama kijiti kilichokuwa kikiwaka moyo lakini hakiteketea.Mungu bado nakupenda na ana makusudi na wewe kuwepo mzima hata kama bado hujitambui
Kumbe wewe ni mchungaji🙄
 
Mimi nina madhahu yangu ya jadi. Karibu upate ukombozi wa fikra
 
Mimi nina madhahu yangu ya jadi. Karibu upate ukombozi wa fikra
Naona umechanganyikiwa mpaka unatetemeka kuandika na kukosea. Mjue sana Mungu ndipo mema yatakapokujilia.Mungu akusaidie na kukufanya kiumbe kipya na chombo chake cha kuwahubiria wengine wokovu. Sauli alikuwa ni Muovu lakini Mungu alimbadilisha na kumfanya chombo chake cha kueneza injili.hata wewe utabadilika tu na kuwa chombo cha Bwana.
 
Back
Top Bottom