CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Hata wewe ni mwovu kuwa chawa wa watawala waovu ni dhambi.Naona umechanganyikiwa mpaka unatetemeka kuandika na kukosea. Mjue sana Mungu ndipo mema yatakapokujilia.Mungu akusaidie na kukufanya kiumbe kipya na chombo chake cha kuwahubiria wengine wokovu. Sauli alikuwa ni Muovu lakini Mungu alimbadilisha na kumfanya chombo chake cha kueneza injili.hata wewe utabadilika tu na kuwa chombo cha Bwana.