Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kada wa CCM mchungaji Peter Msigwa awataka vijana wote nchini kupuuza propaganda za CHADEMA na Kuiunga Mkono CCM.
"Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagomba huko waliko, hawana mwelekeo, wamepoteza dira. Wakina mama fanyeni biashara zenu, vijana msipoteze muda kusubiri matumaini hewa kutoka CHADEMA.
Tuendelee kuwa na imani na Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambayo kimsingi imetufikisha hapa tulipo
Wanaongea mambo mengi, utalinganisha Tanzania na nchi gani? Nenda huku kusini mwa Afrika, utalinganisha Tanzania na Msumbiji?, Malawi?, Zambia?, Kongo, Kenya, Uganda?. Hii ni Tanzania zuri ambayo kumekuwa na utulivu na amani chini ya Dkt. Samia".