Mchungaji Tobi Adegboyega ndie aliezaa watoto wote na mke wa mchezaji wa zamani wa Super Eagles na Man city Michael Olanrewajin Kayode

Mchungaji Tobi Adegboyega ndie aliezaa watoto wote na mke wa mchezaji wa zamani wa Super Eagles na Man city Michael Olanrewajin Kayode

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Mchungaji Tobi Adegboyega ndie aliezaa watoto wote na mke wa mchezaji wa zamani wa Super Eagles na Man city Michael Olanrewajin Kayode. Mchungaji kapiga mashine mpaka mke wa mtu Dora kayode kuzaa watoto watatu ndani ya ndoa!

Timu kataa ndoa wanazidi kuchukua point tatu!

FB_IMG_1716826277917.jpg
FB_IMG_1716744517661.jpg
 
Dunia ina mifumo mingi ya maisha! Mingi ya mifumo hiyo ni mifumo ya giza na mmoja tu ni mfumo wa nuru. Mfumo wa nuru unaamini katika haki, upendo na utaratibu. Kijana na binti kila mmoja atafuata taratibu zikiongozwa na upendo kumpata mwenza wake katika haki yote huku pande zote mbili za kijana na binti zikiridhia na kubariki muunganiko huo!
Nje ya hapo ndo kama hawa kataa ndoa!
 
KATAA NDOA
KATAA NDOA
KATAA NDOA
KATAA NDOA
Huu ni utapeli uliojificha kwenye kichaka cha mapendo na familia. Wanaume amkeni wanawake kwenye ndoa lengo lao ni moja tu kukuhujumu
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO
 
Dunia ina mifumo mingi ya maisha! Mingi ya mifumo hiyo ni mifumo ya giza na mmoja tu ni mfumo wa nuru. Mfumo wa nuru unaamini katika haki, upendo na utaratibu. Kijana na binti kila mmoja atafuata taratibu zikiongozwa na upendo kumpata mwenza wake katika haki yote huku pande zote mbili za kijana na binti zikiridhia na kubariki muunganiko huo!
Nje ya hapo ndo kama hawa kataa ndoa!
Nyie wazee hamtako kuamini kuwa ulimwengu wetu unabadilika hasa africa kwa sasa kinachoendelea ni mageuzi ya kijamii kwa africa bahati mbaya mageuzi haya yanaambatana na mageuzi ya kiteknolojia hapa ndipo wazee mnahisi vijana tumechanganyikiwa kabisa..🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom