Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Uamuzi wa busara sana mkuuKwa nini nisiungane na kataa ndoa na ndoa ni utapel
Aisee.Mchungaji Tobi Adegboyega ndie aliezaa watoto wote na mke wa mchezaji wa zamani wa Super Eagles na Man city Michael Olanrewajin Kayode.Mchungaji kapiga mashine mpaka mke wa mtu Dora kayode kuzaa watoto watatu ndani ya ndoa!!!!!
Timu kataa ndoa wanazidi kuchukua point tatu!
Unabishana na DNAMbona watoto wanafanana na baba yao huyo footballer
Nyie wazee hamtako kuamini kuwa ulimwengu wetu unabadilika hasa africa kwa sasa kinachoendelea ni mageuzi ya kijamii kwa africa bahati mbaya mageuzi haya yanaambatana na mageuzi ya kiteknolojia hapa ndipo wazee mnahisi vijana tumechanganyikiwa kabisa..🤣🤣🤣Dunia ina mifumo mingi ya maisha! Mingi ya mifumo hiyo ni mifumo ya giza na mmoja tu ni mfumo wa nuru. Mfumo wa nuru unaamini katika haki, upendo na utaratibu. Kijana na binti kila mmoja atafuata taratibu zikiongozwa na upendo kumpata mwenza wake katika haki yote huku pande zote mbili za kijana na binti zikiridhia na kubariki muunganiko huo!
Nje ya hapo ndo kama hawa kataa ndoa!
Kondoo wana mafuta sana ni watamu kweliWachungaji wa sasa hawatofautiani na waganga wa kienyeji... wote wanakula kondoo
Mkuu nyeto ni mpenzi mwaminifu hawezi kukusaliti kamweKataa Ndoa wanajipakulia minyama, kinachonikera kwao wanapiga sana nyeto
Majibu ya DNA umeyaona? Mke wake kaomba majibu yawekwe hadharani na jina la hospital.Unabishana na DNA