Mchungaji wa KKKT mbaroni kwa kumbaka binti wa miaka 15 mbele ya mdogo wake

Mchungaji wa KKKT mbaroni kwa kumbaka binti wa miaka 15 mbele ya mdogo wake

Kosa kwa mchungaji kosa kwa mbakwaji
Tokea mwanzo alisha ona dalili za kutakwa kimapenzi tena na baba wa rafiki yake inakuaje baada ya hapo akaendeleza mazoea mpka kupelekana guest
Mkuu raraa reree, kisheria kungonoka na binti wa umri chini ya miaka 18 hapo umebaka.
Hata kama huyo binti ndiye 'aliyekutega'
 
Mkuu raraa reree, kisheria kungonoka na binti wa umri chini ya miaka 18 hapo umebaka.
Hata kama huyo binti ndiye 'aliyekutega'
Hilo haliondoi upumbavu wa huyo binti
Yeye na mdg wake wanaiona guest wanaingia hata kupiga kelele
 
Naona Kamanda anatengeneza mazingira ya kumnasua mchungaji sipati picha mtuhumiwa angekuwa ustaadh.
 
“Akanilazimisha niende kukaa kitandani, nikamuacha mdogo wangu amekaa kwenye stuli mara akaanza kunishikashika kisha akaniingilia kimwili huku mdogo wangu mwenye umri wa miaka minne akiwa amekaa pembeni,” anaeleza binti huyo.
Jokate anatakiwa kuwatibu afya ya akili hawa wawili
 
Daaaaa inauma hapa natetemekaaaaa......sielewii.....kbsss jamaniiii nimevunjika moyo hadi wachungaji tenaa
 
Angela sim hako ka binti kange mute
siku hizi vitoto miaka 15 unaweza kudhani ni mdada wa miaka 21,22

ova
 
Hawa wanaozini na watoto chini ya miaka 18 ila juu ya miaka 14 bila kutumia nguvu wapewe adhabu ya viboko 50 hadharani kuwafunga jela maisha au 30 years ni kuwaonea na unafiki mkubwa, mabinti majority miaka hiyo wameshaanza ngono, na waliowatoa bikra wapo na wanajulikana, sheria iwe chini ya miaka 14 kama zamani. Ni sheria ya kinafiki tu ma teenagers wengi wanafanya ngono, tukiamua wakamatwe wote magereza hayatatosha.
 
Huyo Mch. Lauwo hakuzingatia maadili ya kiuongozi! Alikuwa anawaza nini kushare kwenye group taarifa kama hizo?

Watu pekee ambao angeweza kuwahashirikisha ni Mwajiri wa mtuhumiwa, wazazi wa mwathirika, Jeshi la Polisi, na ustawi wa Jamii.
Halafu alivyo mpuuzi anasema eti "hakusambaza" ila ali "share"
 
Back
Top Bottom