Mchungaji wa KKKT mbaroni kwa kumbaka binti wa miaka 15 mbele ya mdogo wake

Dah nimecheka sana uliposema mawakili wa serikali wakitupania inakuwa ngumu kutoka kwenye 'statutory rape' hii inamaanisha kuwa mawakili wa serikali huwa wanakuwa wazembe au hupokea rushwa na kusababisha serikali iangukie pua kwenye kesi nyingi!
 
Tuvifunze adabu vibinti vyeti, hapo unaona yeye ndo kachukua namba ya Mchungaji na kuanza kumpigia anajifanya anamtafuta rafiki yake......Mchungaji nae kaona deadball kaurukia kichwa🤣

Ila binti hakuwa bikra.....at 15?
nyau #english# yake ina sealed
 
Dah,wanaoitwa watumishi siku hizi ni kitendawili.
 
Huyu jamaa huwa anatabia ya kubambika watu kesi za kubaka au kulawati japo mengine huwa ni kweliaangaliwe kwa jicho la tatu,inasemekana hayuko vizuri upande wa mme Sasa anakuwa najeleous,chaaajabu Kuna mtoto alibakwa Tbr na hakufanya chochote baada ya kupokea Mambo ya karatasi kibunda.
 
Hivi hawa si wanaoa? Shida nini?👎🤣
 
Hili tukio mbona kama nila kutengenezwa? Kwa mbaali naona movie ya kihindi. huyo mchungaji aliyemuhoji binti na kisha akasambaza mahojiano ni km ndo injinia wa mpango mzima. Huenda alipanga kumchafua mwenzake maana kwenye taasisi za dini haya mambo yapo sana kutokana na kugombania vyeo. Nimeshituka pale binti anaposema yeye ndo aliomba namba ya huyo mchungaji. Aafu anasema yeye ndo alianza kumpigia. Pia kwa umri wake kwanini anamiliki simu?Nadhani polisi waanzie hapo.
Binti wa miaka 15 anamiliki simu, kama hakuwa bikira basi mchungaji apuuzwe tu asiangushiwe jumba bovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…