Mchuzi wa mayai!

KOKUTONA huyu mbaba akinenepa zaidi ya hapo, si atapasuka na kuachwa na Lady doctor?

Wewe mbaba wewe!!!!!!! Natamani sana ninenepe afu wewe unatania hapa kuwa mimi mnene???? Siku nikinenepa tu nikafikia hata unene wa Mzee wa Rula hakika nitafurahi sana. Ila mafood nayopewa na shemejio Lady doctor soon nitafikia jumbo lile.

CC KOKUTONA
 
Last edited by a moderator:

upo sahihi muombe ila jaribu na hii ni bonge la rosti tamuje sasa!!ofcourse kuna kale kadude ka cha kukatia mayai ni tamu pia hiyo ya mayai kukaanga naipikaga ila si tamu kama hii bestito labda kwa vile napenda marosti na mayai ya kuchemsha
 
umeona eeee ya kukaanga mchuzi nilikula kwa jirani jumapili
 
itabidi leo jioni bestito amu niingie jikoni kuijaribu hii mboga maana kwangu naona ningeni kabisa sijawahi kuila
 
Last edited by a moderator:
amu mie hii naipikaga sana.....haina complikeshen hata halafu ni fasta tu....

uwage una nimeention huku nataka kujua kupika mie
 
Last edited by a moderator:
amu mie hii naipikaga sana.....haina complikeshen hata halafu ni fasta tu....

uwage una nimeention huku nataka kujua kupika mie

dia nimekumensheni embu angalia mensheni zako loo
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
amu mie hii naipikaga sana.....haina complikeshen hata halafu ni fasta tu....

uwage una nimeention huku nataka kujua kupika mie

wii, si unajua kaka angu ni kimbaumbau? Naomba uonyeshe juhudi zako mpaka anenepe, sawa?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…