Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KOKUTONA huyu mbaba akinenepa zaidi ya hapo, si atapasuka na kuachwa na Lady doctor?Ha haha haaaa hulali?
Cheka unenepe mwaya
KOKUTONA huyu mbaba akinenepa zaidi ya hapo, si atapasuka na kuachwa na Lady doctor?
Mboga ya kibachela hii lakini ni tamu sana hukawii kunogewa na kuchonga mzinga ukiwa unaikumbuka kumbuka kila baada ya muda ukaitamani tena.
Hahaha umenikumbusha mbali sana aisee, ngoja paw asome hii hapa.
Unaweza pia usichemshe mayai. Unayapiga tu na chumvi. Ukishafikia nyanya na vizagazaga vimeiva uanmiminia mayai na kukoroga kwa bidii hadi yagande. Unapata bonge la mboga. Hiyo unaweza weka katikati ya mkate wako. Mimi sio mpenzi wa michuzi, so ile ya mayai ya kuchemsha naiepuka.
Lets get proffessional, living a 5* life. Ukishamenya mayai yako unaweza kulikata kati fyaaap kabla ya kuweka mchuzini. Inapendeza kweli kile kiini kikionekana.
duh mimi nimechemsha mayai mawili basi...what a coincidence amu?...huu ubachelor huu.
ila mi napenda mchuzi wa mayai sema mie huwa sichemshi kwanza
nakaanga vitunguu ..nyanya karoti hoho ...vikishaiva then namwaga mayai ni mboga nzuri sana hata kwa ugali
There are currently 6 users browsing this thread. (2 members and 4 guests)
Aisee Mentor nimetengenezewahii makitu na shemejio Lady doctor ni tamu sana. Just give it a try.
KOKUTONA huyu mbaba akinenepa zaidi ya hapo, si atapasuka na kuachwa na Lady doctor?
amu mie hii naipikaga sana.....haina complikeshen hata halafu ni fasta tu....
uwage una nimeention huku nataka kujua kupika mie
Nilishautupa ukapera kule baada ya kumuoa Lady doctor.
mi nasubiria feedback wangu yasije yakawa kama ya Me370 loo.All the best d