MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Kwahio aliemtengua na timu yake hawajui hizi theories mnazosema hapa? Kwamba Mh kachomekewa? Ukiona katenguliwa jua mamlaka imejiridhisha kuna kitu Mh kafanya hakiko sawa. Ndio maana wanawake wengi hawawezi kuripoti ubakaji kwasbabu mwisho wa siku wao ndio wanashambuliwa.
 
Huyo awezi kuwa victim pekee, serikali kama ina nia kweli ya kutokomeza matumizi mabaya ya madaraka washawishi na wengine wajitokeze idadi itakuwa kubwa.

Lazima anatabia ya ubakaji kwa muda mrefu huyo mtu wa hovyo; ni muda wa kutengeneza database ya rapists offenders.
Sasa soma maoni ya raia wa JMT wanavyomshambulia victim.
 
Alipimwa, taarifa inasema "... ameingiliwa kinyume na maumbile kwa kuingiziwa kitu butu katika sehemu yake ya haja kubwa...." .

Inaonyesha kwamba binti siyo mzoefu, inawezekana ikawa ndio mara yake ya kwanza.
Wanatumia sana tafsida wasema tu "amepimwa na imegundulika kua kaf@irw@.
 
Kuna changamoto sana kwenye jamii yetu halafu tulivyokuwa wapumbavu tuko busy kuweka Sheria ngumu kumlinda mtoto wa kike ambaye tayari ni kituko kwenye jamii baadala ya kuset mifumo itakayomkuza mtoto wa kike na kumfanya ajilinde mwenyewe.

Kama mtoto wakike anakwenda disco na kunywa pombe hovyohovyo, mtoto wa kike anatamaa na hela za watu, mtoto wa kike anajitokea tu usiku hovyohovyo UNATEGEMEA NINI zaidi yakuweka watu tu matatizoni.
 
Ameshaanza kuwadanganya kuwa ni vita za kisiasa sababu anataka kugombea Ubunge huko kwao Newala Vijijini.

Kingine ni kuwa, bahati yake mbaya amefanyia huo ujinga Mwanza ambako Mkuu wake wa Mkoa ni mume wa Mbunge wa sasa wa Newala Vijijini ambaye Nawanda ni hasimu wake. Hiyo inaitwa mbwa kala mbwa..
Kwahiyo walisubiri aingie kwenye 18 wamle kichwa! Ama kweli siasa mchezo mchafu
 
shauri la RC Kulawiti Mwanafunzi tangu tarehe 04 June 2024. limeshika hatamu naona RC ameamua kutumia watu kumhonga binti ili asitishe kesi,

Taratibu zote zilikuwa zimekamilika zikiwemo za Kuchukua maelezo ya mlalamikaji,uchunguzi wa kitabibu kutoka hospitali , kuchukua footage za CCTV kutoka eneo husika na Vielelezo vingine.

Ghafla binti akaanza kushawishiwa apapokee million 50 ili aaachane na shauri husika.

Serikali na vyombo vya dola Mwanza vimeshindwa kujua hii siyo kesi ya Madai ni kesi ya serious ya Jinai.

Mlalamikaji ni Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani na Binti ni Shahidi tu.

Kwa sababu hiyo,Sanaa zingine zozote za kutoa rushwa ili kufuta kesi ni Kashifa mpya kwa serikali na vyombo vyake vya usalama.

Kwanini viongozi wetu wanakosa maadili kiasi hiki ??
Kwa sababu kesi zote za jinai Jamuhuri ndio mlalamikaji na muadhika ni shaidi tu,kwa hiyo itoshe kusema tu,mlalamikaji ndiye ndiye aliyetoa rushes kumpooza victim
 
KULAWITI.

Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.

1. ADHABU YAKE.

Kifungu cha 154 Kanuni za Adhabu, Sura ya 16, Adhabu ya kulawiti ni Kifungo cha Maisha jela, au miaka isiyopungua 30 jela.

Kujaribu(attempt) kulawiti adhabu yake ni kifungo kisichopungua miaka 20.

2. USHAHIDI WAKE.

MOSI
Mahakama ya Rufaa katika kesi SELEMANI MAKUMBA vs JAMHURI, (2006) TRL 379 inasema kuwa ;-
"Ushahidi mzuri unaohusu Makosa ya Kujamiiana(sexual offences) ni ule unaotoka kwa mtendewa/muathirika mwenyewe(victim)."

Maana yake kile anachokisema muathirika ndio ushahidi mkuu na wa maana zaidi mbele ya Mahakama kabla ushahidi wa mtu au kitu kingine chochote.

PILI.
Kifungu cha 127(7) cha Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6 kinasema kuwa ;-

Ushahidi wa muathirika/mtendewa wa makosa ya kujamiina, kama utatolewa vizuri, na shahidi akawa ni wa kuaminika(credible witness), basi unatosha peke yake bila kuhitaji ushahidi mwingine wowote( collaboration) kumtia mtuhumiwa hatiani na kuadhibiwa na mahakama.

Muathirika akitoa ushahidi mzuri imeisha.

3. VIPI KUHUSU USHAHIDI WA DAkTARI.

Katika kesi ya C.D. DE SOUZA vs B.R.SHARMA(1953)EACA 41 na maamuzi mengine meengi ya Mahakama ya rufaa, Ushahidi wa daktari ni MAONI tu(opinion).

Watu hujua ushahidi wa daktari ndio kila kitu,hapana. Ushahidi wake ni maoni tu.

Kwakuwa ni maoni, basi Mahakama inaweza kuukubali au kuukataa.

Na hata ushahidi wa daktari uwe sahihi vipi hauwezi kusimama peke yake kuthibitisha ulawiti, mpaka usaidiwe na ushahidi mwingine hasa wa mtendewa.

Mwisho, kuna vijana wa mjini wanajua kumuingilia mwanamke girlfriend wako au mke wako kinyume na maumbile sio kosa. Wanajua kosa ni mpaka iwe mwanaume kwa mwanaume.

Acheni ujinga mtaenda jela, hilo ni kosa. Na ni kosa hata kama ameridhia. Akiridhia nyote mpo kwenye makosa na mnakabiliwa na kifungo cha miaka 30 au maisha.

Msiseme sikuwaambia.
 
Ushoga na ccm ni pete na kidole.....Sijawahi kuona chama kinapenda kufukuana mitaro kama hilo chama chakavu
 
Kwahiyo walisubiri aingie kwenye 18 wamle kichwa! Ama kweli siasa mchezo mchafu
Tena akajiingiza mwenyewe. Nachomwonea huruma ni alikuwa na asilimia 99 za kuchukua hilo jimbo. Hata 2020 yeye ndiye aliongoza kura za maoni Mzee Magu akamkata.. Ila yawezekana Mungu kaepushia mbali maana wadada huko jimboni na UDOM wangekipata cha moto 😂😂
 
Back
Top Bottom