MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Yaani kuna tuhuma nyingine mbaya sana ebu fikiria mtu kama huyu anatenguliwa kwa tuhuma za ulawiti sasa siku anaenda kutembea nyumbani kwao anapokewa na Mama yake na dada zake na mabinti zake au wa ndugu zake hivi anawatazama vipi!
Kujinyonga huanzia huko lkn kwa ccm wanavyolindana basi atapewa kacheo kengine
 
Alipimwa, taarifa inasema "... ameingiliwa kinyume na maumbile kwa kuingiziwa kitu butu katika sehemu yake ya haja kubwa...." .

Inaonyesha kwamba binti siyo mzoefu, inawezekana ikawa ndio mara yake ya kwanza.
Kwa taarifa hii nategemea huyo mtuhumiwa atakuwa nyuma ya nondo pale Butimba camp
 
Nampongeza Mh Rais kwa kumtumbua huyu mshenzi ingawa CHADEMA watamtetea. Kiuhalisia ni aibu kubwa mno mtu kuipata. Yaani nchi nzima kwa sasa inamtazama jamaa kama mfiraji.
Na iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hii ya kwamba kuna siku unaweza kuaibishwa bila kutarajia.
 
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.
Mbona hafungwi? Au jela ni kwa walalahoi?
 
Saa 6:24 usiku, zinaonesha gari hilo lilionekana katika geti la kutokea likiwa eneo la mwanga mkali uliowezesha kulitambua usajili wake. Dereva wa gari hilo alikuwa amevalia kofia aina ya kapelo akitoka kwenye gari hilo kwa ajili ya kulipia ushuru wa maegesho.

Ushuru sa 6 usiku?😃 waandishi tafadhali
Ya mchongo hii
 
Alipimwa, taarifa inasema "... ameingiliwa kinyume na maumbile kwa kuingiziwa kitu butu katika sehemu yake ya haja kubwa...." .

Inaonyesha kwamba binti siyo mzoefu, inawezekana ikawa ndio mara yake ya kwanza.
Binti alishapiga show na huyo jamaa kabla
 
hatuombeilakini

nimekumbuka huyu bwana mwemye kashfaaaaa ya kulawiti alianxia udc sehemu mbali mbali

ushauri tu kwa hili inaonekaana ndugu haka n kamchezo sio kwammara ya kwanza kila aliokuwa anafanya kazi

sio hilo tu nimesoma gazeti la mwananchi nikajiridhisha haya yafuatayo

12.alianza uhusiano January na huyu mdada
2.inaonekana ameshakuwa nae sehemu mbali mbali za starehe

3.inaonekana huyu mdada sio mara yake ya kwanza kulawitiwa na huyu bwana

4.gazeti linasema mdada amewambia muda wote wa mahusiano hakuwahi kullawiti ila aliwahi kutaka hivyo mara kadhaa wakiwa faragha
5.Huyu mdada ana asilimia kubwa alishajua mateso yamkulawitiwa huko nyuma pengine huyu mkuu akamhaidi jambo akashindwa kulitimiza na hapo wakachonga mchongo kwakuwa ana udhaifu wa kulawiti hata kwenye gari basi wacha akiwashe

6.kutokana na maongezi inaonekkana huyu dada ashato....sana kwenye gari na si mara yake ya kwanza

6b cçtv inaonyesha kila kitu na wamekubali kutoa ushirikiano kabisa

6c....dk aliempima hyu mdada amekiri mdada ameharibiwa sehemu za nyuma najiridhisha huyu yussuf n fedhuli kabjsa
othwrwise alipigiwa namtu asitoe matokeo nahisi walichelewa mns huuuyu bwana haka kamchexo katakuwa kamwisho
uu...na hatorudia tena

76.huyuu yussuf kidume inaonekana ajaanza kwahuyo dada pengine ningeshauri na mke nae wampime **** mengi nyuma ya paxia

8.mwisho hatakama mdada alishawahilawitiwa bado rc hakustahili kufanya ushenzi kama huu kisa laki 5
9ashikidhwe adabu na alipe gharama xa kumfir....huyu mdada wahaya naombaa shemejizanguu atukawahi kosea mdadawetu ashatumbuliwa gololiii tumpeleke ndan aakpewe aliyokuwa anampa mwenzie na kutupa gharama za kumharibu mdada wetu

wabonake
Mpao abakese
 
Back
Top Bottom