MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Binti nae ana makosa, hakufunzwa kwao anafunzwa na ulimwengu sasa.
Wote wanaaibu yao milele. Hivi kama baba mkeo, watoto marafiki, ndugu jiran, wanakuchukilaje. Kila ukipita mtaani wanakuona kama mlo jicho asee.

Huyo dada nae sijui maisha yake yatakuaje, maana ataendelea kuliwa tu pale akipigwa na maisha. Maana amejiweka sokoni wahuni watataka kjjua kwa nini jamaa alitaka/mla.

Kazi wanayo hapa duniani.
 
Binti alikua tayari kufanya lkn sio kinyume nashangaa mnavyomkandia kama ni mzoefu ww kama ni mzoefu usitake ufanane na kila mtu kwenye mambo hayo na kama kweli kafanyiwa ni haki yake kushtaki.
 
CCM wenginni wa
Sawa, lakini namsifu kusim amia hoja yake kwamba hataki kuliwa tigo hivyo baada ya kuliwa tigo kinguvu amechukua hatua. Hii ina maana alikuwa tayari kuliwa kikawaida wether ana njaa au laa, jambo ambalo kwa wasichana wa sasa wa chuo na changamoto za maisha zinawafanya wanyanduliwe tuu.

Tukirudi kwa huyu mheshimiwa kiukweli amejitakia mwenyewe na yuko so low kwenye hili eneo hahaaaaa.....Hivi demu ambaye umemkamia mpaka uko tayari kumpa 500,0000/= monthly unamuanzaje na kumuomba mtandoa pendwa?? Yaani unakaribishwa viziri kibarazani halafu siku hiyo hiyo unataka kuingia mpaka master bedroom??? Mwanakulitafutaaaa.....
Ccm wengi ni wafiraji wakiongozwa na kinana,
 
Kwa kuwa wengi hum ndani tumeisoma tu hii habari! Tunaweza kusema ni tuhuma tu mpka pale mahakama itakapo jiridhisha bila shaka yeyote kuwa ni kweli


Sasa ikija kutokea mzee wa watu ameshinda kesi asee hyu mdada sijui atakuwa na hali ipi na kama itathibitisha kuwa hyo mdada kwel alifanyiwa kwa maana nyingine atatuambia uma utakuwa na uhakika kuwa aliingiliwa kinyume na maumbile bila ridhaa yake!


Sasa ukipitia barua(aliyo iandika kama ni kweli ya kweke) kuna neno siasa limetumika namshauri tu ameingia mahali ambapo kunasiku atajuta kuwafaham wanasiasa!


Nnanyamaza kusubri mahakama kutoka hukumu kama police watasema kunakesi ya kujibu! Kiujumla kesi hizi za kina dada kuwashitaki kina baba kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia huwa zinaukwel nusu na nusu yake ni plans so unahitaji kuwa makini kuhitimisha mambo haya vinginevyo unaweza kuangukia kwenye kesi ya yusuph na mke wa mfalme! Ushahidi wote unaonekana ubakaji kumbe its plan went wrong
 
Kwani kitendo hicho kilitokea wapi?. Kama walikubaliana na kwenda Hotelini kuna mbaya gani?. Kwani alimlazimisha ?.
Kama ni mwanafunzi kuna ubaya!

Pia ni ubaya kuingiza dudu kwenye shimo la choo.

Ila Tanzania ni kama lawless state. Alitakiwa kushtakiwa ila ndo hivyo tena .
 
Nasikia mkoa wenyewe ni ona, mimi, wewe!
Nawashauri tu wanasiasa, viongozi wa serikali na wananchi kwa ujumla, kuongeza umakini na tahadhari katika kipindi kama hiki
Kipindi cha kuelekea uchaguzi, mambo ni mengi sana!
 
Hahahaha huyu jamaa sijui sasa atawambia nini watoto,nduguze na mkewe kuhusu hili swala aisee aibu naona mimi!

Kweli shetani ni hatari sana….hata kama wanakuchafua cha kujiuliza mkuu wa Mkoa The Cask kwenye birthday ulifata nini?
 
Back
Top Bottom