MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Mabinti wengi wa vyuo huangukia sana kwenye tamaa ya starehe na pombe na kwenda kwenye maanight club sio just to have fun lakini kufanya hook-up na kupata hela yakuendesha lavish life kama kumiliki iPhone, vipodozi na maisha mengine ya gharama at the end wanaangukia kwa wahuni.

Binti date na watu wa umri wako ambao wanajitafuta kama wewe ili in future mtengeneze life lenu wenyewe na sio kutamani maisha ya watu walio tayari.
 
Inaonekana binti ni mdangaji tu na RC alikuwa sponsa wake. Ila kuna namna kama kasetiwa ili RC aingie kwenye majanga.

Mwenye picha ya binti tafadhali.

Daaah! Ajali kazini, hahaa huu mchezo wanaume wote tunauhusudu haina na cha raisi wala RC

Ila mkuu naye kwa nini aforce? Hizi mambo raha yake mrembo aridhie
 
Sidhani kama walimpangia

Si umeona tayari bimkubwa kashampiga chini huyo RC na kateua mpya
Huo ni Utaratibu wa Kiutumishi Serikalini. Mtu akituhumiwa kwa kosa ambalo ni Public Scandal hatua ya kwanza huwa ni Interdiction ili kupisha uchunguzi ufanyike au uweze kuendelea bila kutatizwa na mhusika..
 
Hay
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.

Haya majina haya....cc Faiza Foxy
 
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.
Huyo mwanachuo anaesemekana kamlawiti ashahusishwa kwenye kesi kama hiyo
 

Attachments

  • 97BEB7F1-178F-4630-BD75-283D0F8342A8.jpeg
    97BEB7F1-178F-4630-BD75-283D0F8342A8.jpeg
    137.1 KB · Views: 7
  • 25D2E23D-81EF-428F-AD8F-F0B9FB54BD13.png
    25D2E23D-81EF-428F-AD8F-F0B9FB54BD13.png
    2.2 MB · Views: 8
  • A1AD63F6-420B-4845-BF08-E5F4E6B6409A.jpeg
    A1AD63F6-420B-4845-BF08-E5F4E6B6409A.jpeg
    62.7 KB · Views: 7
Back
Top Bottom