Mda wa kujisaidia fanya haya itakusaidia kuepuka baadhi ya changamoto

Mda wa kujisaidia fanya haya itakusaidia kuepuka baadhi ya changamoto

Wakufoji

Senior Member
Joined
Jan 15, 2019
Posts
199
Reaction score
392
Unapo jisaidia haja kubwa hakikisha unafanya haya ili kuepusha bawasiri ya kujitakia.

1. Hakikisha ukifika chooni unachuchumaa na kutulia subiri haja itoke yenyewe.

.yaan epuka kuisukuma haja yako kwa kujikamua kwa njia yeyote ile. Lakufanya una chuchumaa tu tulia ukikaa sana huja yenyewe. ( Kama ni kigumu sana kinahitaji sapota ya kusukumwa basi hakikisha una kisukuma taratibu sana kitoke mdogo mdogo.

✍️hii itakuepusha usiusukume na utumbo wa hapo mshali haja itokeapo. Pia hauto kwaruzika kama ni haja ngumu.

2. Baada ya haja yako kutoka hakikisha unaacha kinyeo chakwa wazi kwa sekunde flani za kutosha.

.yaani baada ya ile haja kutoka hakikisha unatuliza hicho kitolea haja chako usikifunge mapema na kukikaza.

.# ukikiacha kwa mda flan bila kukikaza husaidia utumbo ujirudi ndan kama uli toke . Ila ukiwahi kupafunga utumbo hua nje kwahiyo uta ubana na ukiendelea sana ndo chanzo cha kuita bawasiri hako ka utumbo kakianza kukaa nje mda wote.

.% lakini kama tayari una bawasiri tumia njia hizo hapo juu mda wa kujisaidia kisha jiongezage kils baada ya haja kabla ya kupafunga mahali hapo hakikisha una pasukuma na toilet pepa kwanza paingie ndani ndo upskaze sasa.

{ ✍️Hata kwa haja ndogo mjitahidi mzitoage kwa kubalance nguvu yaan usisukume kwa kujiachia tu. Kuns usiku flan nilibanwa na mkojo usingizini nikaenda chap nikakamia kuutoa fasta ili nikalale. Aise ! Nilipata maumivu makali ya ajabu wakati hata ngono cjawah kushiriki maana ningesema ni STDs. Kwahiyo ustaarabu mda wa kujisaidia ni mhimu. }
 
Kikubwa usijikakamue. Maji vugu glas mbili kila ukiamka,ukizoea utaratibu huu kwa muda mrefu mwili wako utajiseti kupata choo kilaini. Pili ukiona haja ngumu kuepuka kuchubuka kabla ya kupata haja chukua mafuta mgando pakaa sehem ile mengi tu itakusaidia usipate mchubuko kwa mwenye choo kigumu. Kama upo karibu na yale majani yenye miba chuma uwe unakunywa utapata choo laini.umeshindwa kabisa hakikisha hukosi kula papai au stafeli kila siku.na maji walau lita 2.
 
Back
Top Bottom