Kikubwa usijikakamue. Maji vugu glas mbili kila ukiamka,ukizoea utaratibu huu kwa muda mrefu mwili wako utajiseti kupata choo kilaini. Pili ukiona haja ngumu kuepuka kuchubuka kabla ya kupata haja chukua mafuta mgando pakaa sehem ile mengi tu itakusaidia usipate mchubuko kwa mwenye choo kigumu. Kama upo karibu na yale majani yenye miba chuma uwe unakunywa utapata choo laini.umeshindwa kabisa hakikisha hukosi kula papai au stafeli kila siku.na maji walau lita 2.