Huyu dada kawapa makavu laivu
Ndicho kinachopaswa kufanyikaTume ya jaji Chande ilipendekeza kuvunjwa na kuundwa upya.
Hawa ndio aina ya raia nchi yetu inahitaji. Wale mazafakas wanaolamba miguu ya watawala day in day out wanatuwekea usiku tu!Ujumbe umekaa kizalendo sana:
Naona Polisi mmepoteza uhalali wa kuwaelekeza waTanzania cha nini chakufanya bali mnatoatoa maelekezo hayo maelekezo mmepoteza uhalali kwa sababu msingi wa kuundwa kwa jeshi la polisi ilikuwa ni kulinda Raia na mali zake na si kulinda mafisadi, wezi wala walarushwa.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Imho nimefurahia nini?
Labda kina @imhteop na wenzao wala ubwabwa huko.
🤔🤔Wapi umetajwa ndugu? Kulikoni kujishtukia?