Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kakaBado mkuu wakija nitakuambia
Hahahaha JF bhanaPiga story na mungu mkuu sali
Itabidi alete na ushahidi wa picha MkuuBaadae uje kuscreenshot chat zetu ulete humu ujisifu nishamburuza kritika?
wote humu wake za watu,nenda love connect mkuuu wadada wamama wengi wanatafuta
naona unajitahidi kwelikweli kunizoea kazana mkuu utafanikiwaItabidi alete na ushahidi wa picha Mkuu
Kwahyo mm mwenye mpango wa kupata kademu niahirishe
Ah ah ah ah ah ah ah nimecheka sana kias kwamba wife hapa pemben ananiuliza Baba Irene unacheka nin.....!!!naona unajitahidi kwelikweli kunizoea kazana mkuu utafanikiwa
Muambie lile li crash langu la jamiiforum limenichekeshaAh ah ah ah ah ah ah nimecheka sana kias kwamba wife hapa pemben ananiuliza Baba Irene unacheka nin.....!!!
Ah ah ah ah acha nichekee tumbo mieMuambie lile li crash langu la jamiiforum limenichekesha
Muambie huyu mwanamke nampenda kweli kweli halafu kanichekesha sana leoAh ah ah ah acha nichekee tumbo mie
Natania tuuu mkweeee wanguMuambie huyu mwanamke nampenda kweli kweli halafu kanichekesha sana leo
unatania nini sasaNatania tuuu mkweeee wangu
Tuyaache hayo......! Vp lakin mishe misheunatania nini sasa
safiTuyaache hayo......! Vp lakin mishe mishe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nomaaaaahPiga story na mungu mkuu sali