Mdada au mmama wa kuchat naye.

Mdada au mmama wa kuchat naye.

lup

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
2,514
Reaction score
2,741
Niko boadi(bored) usiku hapa na nimekosa pa kwenda hivyo nahitaji jinsia tanjwa hapo juu japo uje PM tubadilishane mawazo.
Sichagui umri wala kabila na ikitokea labda unaishi mwanza au unakaribia kuja mwanza itakuwa vizuri zaidi.
Lakini kama uko mwanza mda huu.. huwezi jua labda tunaweza toka pamoja, si unajua na kesho ni Miss zone hapa city mall.
Hivyo karibu labda wewe ndio muujiza wangu maana bado nipo single ila natafuta
 
Hujapata bado? Tupiamo kapicha tukuone [emoji1435]‍♀️[emoji1435]‍♀️[emoji1435]‍♀️
 
  • Thanks
Reactions: lup
Baadae uje kuscreenshot chat zetu ulete humu ujisifu nishamburuza kritika?
Usifikirie wote tuna akili za hivyo... fatilia nilichomwambia jana yule jamaa aliyeleta mada na akascreenshort ile chat ya whatsapp...
 
Basi nigekuwa nimeshawaweka wengi sana hapa
 
Duh.. yaani hammna
 
wote humu wake za watu,nenda love connect mkuuu wadada wamama wengi wanatafuta
Haya ngoja mods wanihamishie huu uzi tafadhari
 
Huko pm hawajaanza kujaa kama wakizidi unigawie wengine
 
  • Thanks
Reactions: lup
Back
Top Bottom