Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Nataka kuona jinsi ya vichwa viwili vinavyoshindana kufanya maamuzi mkuu
Jitahidi kusimuliwa tu, hii kitu ikikutana na mwenzake hapo ni hatari tupu, wewe endelea kuifaidi tu mkuu natumai kijana, mtanzania mwenzetu huwa anatuwakilisha vyema huko uliko...
IFAIDI kadri uwezavyo hahahah