Mdada kama ulimkataa jamaa ujanani endelea kumkatalia hadi ukiwa 35+ endapo bado anakufuatilia

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
"Sikutaki", "Nina mtu wangu", "Sina hisia nawe", "Hatuwezi kuwa pamoja", "You are not my type"..... na majibu mengine kama hayo ulikuwa ukiyatoa wakati wote mkiwa under 30yrs tena mara nyingi below 25 years. Na utakuta jamaa alikuwa akiona jinsi ukila bata na vipenzi vya moyo wako huku ukiendelea kumkazia. Jamaa hakusema neno bali akajikaza na kuendelea na maisha yake kwa sababu kuna siku ulimwambia aache kuwa king'ang'anizi mbele ya watu.

Mkapotezana kwa miaka kadhaa mkaja kukutana tena mkiwa watu wazima above 35years. Wewe ukiwa umeshaanza kuwa mwanafunzi mtiifu wa Dr Janabi kuhusu ulaji huku ukiwa mteja mkubwa wa slimming tea kiasi kwamba unastahili kuwa balozi wake. Lakini ukiwa bado single hujaolewa na huna mtoto. Wale vipenzi vya moyo wako wameshaoa wapenzi wa mioyo yao. Jamaa yeye kama ilivyo kwa wanaume wengi anaonekana bado yuko fit kiasi kwamba anaweza hata kuendana na baadhi ya vitoto vya 2000.

Katika hali ya kushangaza jamaa bado akakumbushia ombi lake la wewe kuwa mpenzi pamoja na kwamba kwa sasa umeshaanza kuonekana kama bibi wa mjukuu mmoja (Arusha tunaita Kokoo). Ninakushauri ENDELEA KUMKATAA MAANA MWANAUME HALISI KWA WAKATI HUU ANACHOTAKA NI KULIPIZA jinsi ulivyompitisha kwenye moto. Mwanaume hawezi samehe yeyote anayedhalilisha uanaume wake. Pia kwa hesabu za kawaida ni ngumu mwanaume wa miaka zaidi ya 30 akawa single au kukosa hata mtoto.
 
Mama Samia nani tena ulikuwa unamkataa?

Ila utamu wa mwanamke unaanzia hiyo miaka...30 na kitu kwenda juu.

They are more open, know their Yonis, experienced [Don't take it lightly],.....
 
"Sikutaki", "Nina mtu wangu", "Sina hisia nawe", "Hatuwezi kuwa pamoja", "You are not my type"..... na majibu mengine kama hayo ulikuwa ukiyatoa wakati wote mkiwa under 30yrs tena mara nyingi below 25 years. Na utakuta jamaa alikuwa akiona jinsi ukila bata na vipenzi vya moyo wako huku ukiendelea kumkazia. Jamaa hakusema neno bali akajikaza na kuendelea na maisha yake kwa sababu kuna siku ulimwambia aache kuwa king'ang'anizi mbele ya watu.

Mkapotezana kwa miaka kadhaa mkaja kukutana tena mkiwa watu wazima above 35years. Wewe ukiwa umeshaanza kuwa mwanafunzi mtiifu wa Dr Janabi kuhusu ulaji huku ukiwa mteja mkubwa wa slimming tea kiasi kwamba unastahili kuwa balozi wake. Lakini ukiwa bado single hujaolewa na huna mtoto. Wale vipenzi vya moyo wako wameshaoa wapenzi wa mioyo yao. Jamaa yeye kama ilivyo kwa wanaume wengi anaonekana bado yuko fit kiasi kwamba anaweza hata kuendana na baadhi ya vitoto vya 2000.

Katika hali ya kushangaza jamaa bado akakumbushia ombi lake la wewe kuwa mpenzi pamoja na kwamba kwa sasa umeshaanza kuonekana kama bibi wa mjukuu mmoja (Arusha tunaita Kokoo). Ninakushauri ENDELEA KUMKATAA MAANA MWANAUME HALISI KWA WAKATI HUU ANACHOTAKA NI KULIPIZA jinsi ulivyompitisha kwenye moto. Mwanaume hawezi samehe yeyote anayedhalilisha uanaume wake. Pia kwa hesabu za kawaida ni ngumu mwanaume wa miaka zaidi ya 30 akawa single au kukosa hata mtoto.
Umeanza vizuri mwanzoni. Hapo mwishoni umeharibu. Mwanaume rijali ukidhalilishwa na mwanamke akakukataa, how come on earth uje kumkumbushia baada ya miaka mitano au kumi mbeleni? Mimi hata mwaka mmoja ni mrefu. Sitokaa kukumbushia. Kuna toto moja lilikuwa pisi kali sana miaka ya 2010 alikuwa anauza stationary. Kila nikijaribu kurusha karata yangu alikuwa ananitolea nje, huku akila vocha zangu na vitu vidogo vidogo.Enzi hizo nilikuwa limbukeni sana, nilimshobokea hadi 2015. Hapo nikajiridhisha kwamba huyu sitakaa nimle. Kuanzia 2015 Nikaja kuonana naye 2020, aisee kumbe alipigwa mimba, na mwamba akagoma kuoa, akajikuta single mother na aliyempa mimba ni jobless. Kilichofuata binti alikonda ghafla mashavu yale ya round yakazama ndani kama bibi kizee, maisha yakamgonga. Aliponiona akaanza kunipapatikia nikampiga block pale pale tena mbele za watu. Nakumbuka nilienda pale kuscan passport na kutoa copy nyaraka flani nilikuwa nasafiri kwenda ulaya, Hapo hapo alianza kuniomba nimnunulie soda, vocha mara anataka nimnunulie lunch. Nilimwambia live, una kazi, una kipato, jihudumie. Hakuamini macho yake, bado akaendelea kunitafuta kwenye simu, jioni akanipigia anaomba msamaha, kama vipi yuko tayari aje hotelini. Nikamblock. Unajua hawa mabinti wa kibongo wengi wakiona umepata trip ya kukwea pipa unaenda Europe au kwa Trump, akilini mwao wanaanza kujiwekea mawazo kwamba wewe umeula una dollari.
 
Unaelezea kuliwa fedha zako au safari yako ya Ulaya?
 
At 18, she has choices
At 18, you have nothing

At 25, she looks for love
At 25, you're chasing your goals

At 30, her value slows down
At 30, you're getting started

A woman's life starts at 18
A man's life starts at 30

A woman is born with value
A man is born with no value

She has to protect her value
You have to build your value

Choose wisely
 
"Sikutaki", "Nina mtu wangu", "Sina hisia nawe", "Hatuwezi kuwa pamoja", "You are not my type"..... na majibu mengine kama hayo ulikuwa ukiyatoa wakati wote mkiwa under 30yrs tena mara nyingi below 25 years. Na utakuta jamaa alikuwa akiona jinsi ukila bata na vipenzi vya moyo wako huku ukiendelea kumkazia. Jamaa hakusema neno bali akajikaza na kuendelea na maisha yake kwa sababu kuna siku ulimwambia aache kuwa king'ang'anizi mbele ya watu.

Mkapotezana kwa miaka kadhaa mkaja kukutana tena mkiwa watu wazima above 35years. Wewe ukiwa umeshaanza kuwa mwanafunzi mtiifu wa Dr Janabi kuhusu ulaji huku ukiwa mteja mkubwa wa slimming tea kiasi kwamba unastahili kuwa balozi wake. Lakini ukiwa bado single hujaolewa na huna mtoto. Wale vipenzi vya moyo wako wameshaoa wapenzi wa mioyo yao. Jamaa yeye kama ilivyo kwa wanaume wengi anaonekana bado yuko fit kiasi kwamba anaweza hata kuendana na baadhi ya vitoto vya 2000.

Katika hali ya kushangaza jamaa bado akakumbushia ombi lake la wewe kuwa mpenzi pamoja na kwamba kwa sasa umeshaanza kuonekana kama bibi wa mjukuu mmoja (Arusha tunaita Kokoo). Ninakushauri ENDELEA KUMKATAA MAANA MWANAUME HALISI KWA WAKATI HUU ANACHOTAKA NI KULIPIZA jinsi ulivyompitisha kwenye moto. Mwanaume hawezi samehe yeyote anayedhalilisha uanaume wake. Pia kwa hesabu za kawaida ni ngumu mwanaume wa miaka zaidi ya 30 akawa single au kukosa hata mtoto.
Kwani ww nini kimekukuta
 
Kama nina 35 siwezi kutembea na Mwanamke ambaye Ana 30 hapo hesabu zinakaa itabidi niwaachie wakubwa 30-50 hapo sawa
 
"Sikutaki", "Nina mtu wangu", "Sina hisia nawe", "Hatuwezi kuwa pamoja", "You are not my type"..... na majibu mengine kama hayo ulikuwa ukiyatoa wakati wote mkiwa under 30yrs tena mara nyingi below 25 years. Na utakuta jamaa alikuwa akiona jinsi ukila bata na vipenzi vya moyo wako huku ukiendelea kumkazia. Jamaa hakusema neno bali akajikaza na kuendelea na maisha yake kwa sababu kuna siku ulimwambia aache kuwa king'ang'anizi mbele ya watu.

Mkapotezana kwa miaka kadhaa mkaja kukutana tena mkiwa watu wazima above 35years. Wewe ukiwa umeshaanza kuwa mwanafunzi mtiifu wa Dr Janabi kuhusu ulaji huku ukiwa mteja mkubwa wa slimming tea kiasi kwamba unastahili kuwa balozi wake. Lakini ukiwa bado single hujaolewa na huna mtoto. Wale vipenzi vya moyo wako wameshaoa wapenzi wa mioyo yao. Jamaa yeye kama ilivyo kwa wanaume wengi anaonekana bado yuko fit kiasi kwamba anaweza hata kuendana na baadhi ya vitoto vya 2000.

Katika hali ya kushangaza jamaa bado akakumbushia ombi lake la wewe kuwa mpenzi pamoja na kwamba kwa sasa umeshaanza kuonekana kama bibi wa mjukuu mmoja (Arusha tunaita Kokoo). Ninakushauri ENDELEA KUMKATAA MAANA MWANAUME HALISI KWA WAKATI HUU ANACHOTAKA NI KULIPIZA jinsi ulivyompitisha kwenye moto. Mwanaume hawezi samehe yeyote anayedhalilisha uanaume wake. Pia kwa hesabu za kawaida ni ngumu mwanaume wa miaka zaidi ya 30 akawa single au kukosa hata mtoto.
Sema wanawake kuanzia 35+ huwa wanakuwa wamoto sana na wazuri zaidi
 
Back
Top Bottom