MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Wewe ni mwanamke wa miaka 37?Watu mna depression kali sana humu ndani
46Wewe ni mwanamke wa miaka 37?
🤣🤣🤣 Niliuza hivyo hivyo, akaniambia ataniroga..Hao tunapiga halafu unamuuliza kipo wapi 🤣🤣🤣
Umeanza vizuri mwanzoni. Hapo mwishoni umeharibu. Mwanaume rijali ukidhalilishwa na mwanamke akakukataa, how come on earth uje kumkumbushia baada ya miaka mitano au kumi mbeleni? Mimi hata mwaka mmoja ni mrefu. Sitokaa kukumbushia. Kuna toto moja lilikuwa pisi kali sana miaka ya 2010 alikuwa anauza stationary. Kila nikijaribu kurusha karata yangu alikuwa ananitolea nje, huku akila vocha zangu na vitu vidogo vidogo.Enzi hizo nilikuwa limbukeni sana, nilimshobokea hadi 2015. Hapo nikajiridhisha kwamba huyu sitakaa nimle. Kuanzia 2015 Nikaja kuonana naye 2020, aisee kumbe alipigwa mimba, na mwamba akagoma kuoa, akajikuta single mother na aliyempa mimba ni jobless. Kilichofuata binti alikonda ghafla mashavu yale ya round yakazama ndani kama bibi kizee, maisha yakamgonga. Aliponiona akaanza kunipapatikia nikampiga block pale pale tena mbele za watu. Nakumbuka nilienda pale kuscan passport na kutoa copy nyaraka flani nilikuwa nasafiri kwenda ulaya, Hapo hapo alianza kuniomba nimnunulie soda, vocha mara anataka nimnunulie lunch. Nilimwambia live, una kazi, una kipato, jihudumie. Hakuamini macho yake, bado akaendelea kunitafuta kwenye simu, jioni akanipigia anaomba msamaha, kama vipi yuko tayari aje hotelini. Nikamblock. Unajua hawa mabinti wa kibongo wengi wakiona umepata trip ya kukwea pipa unaenda Europe au kwa Trump, akilini mwao wanaanza kujiwekea mawazo kwamba wewe umeula una dollari."Sikutaki", "Nina mtu wangu", "Sina hisia nawe", "Hatuwezi kuwa pamoja", "You are not my type"..... na majibu mengine kama hayo ulikuwa ukiyatoa wakati wote mkiwa under 30yrs tena mara nyingi below 25 years. Na utakuta jamaa alikuwa akiona jinsi ukila bata na vipenzi vya moyo wako huku ukiendelea kumkazia. Jamaa hakusema neno bali akajikaza na kuendelea na maisha yake kwa sababu kuna siku ulimwambia aache kuwa king'ang'anizi mbele ya watu.
Mkapotezana kwa miaka kadhaa mkaja kukutana tena mkiwa watu wazima above 35years. Wewe ukiwa umeshaanza kuwa mwanafunzi mtiifu wa Dr Janabi kuhusu ulaji huku ukiwa mteja mkubwa wa slimming tea kiasi kwamba unastahili kuwa balozi wake. Lakini ukiwa bado single hujaolewa na huna mtoto. Wale vipenzi vya moyo wako wameshaoa wapenzi wa mioyo yao. Jamaa yeye kama ilivyo kwa wanaume wengi anaonekana bado yuko fit kiasi kwamba anaweza hata kuendana na baadhi ya vitoto vya 2000.
Katika hali ya kushangaza jamaa bado akakumbushia ombi lake la wewe kuwa mpenzi pamoja na kwamba kwa sasa umeshaanza kuonekana kama bibi wa mjukuu mmoja (Arusha tunaita Kokoo). Ninakushauri ENDELEA KUMKATAA MAANA MWANAUME HALISI KWA WAKATI HUU ANACHOTAKA NI KULIPIZA jinsi ulivyompitisha kwenye moto. Mwanaume hawezi samehe yeyote anayedhalilisha uanaume wake. Pia kwa hesabu za kawaida ni ngumu mwanaume wa miaka zaidi ya 30 akawa single au kukosa hata mtoto.
Hatari sana, kuna wale wa "nakuchukulia kama kaka yangu" kikiumana huwa natania naona umeamua kulala na kaka yako.Hao tunapiga halafu unamuuliza kipo wapi ?
Unaelezea kuliwa fedha zako au safari yako ya Ulaya?Umeanza vizuri mwanzoni. Hapo mwishoni umeharibu. Mwanaume rijali ukidhalilishwa na mwanamke akakukataa, how come on earth uje kumkumbushia baada ya miaka mitano au kumi mbeleni? Mimi hata mwaka mmoja ni mrefu. Sitokaa kukumbushia. Kuna toto moja lilikuwa pisi kali sana miaka ya 2010 alikuwa anauza stationary. Kila nikijaribu kurusha karata yangu alikuwa ananitolea nje, huku akila vocha zangu na vitu vidogo vidogo.Enzi hizo nilikuwa limbukeni sana, nilimshobokea hadi 2015. Hapo nikajiridhisha kwamba huyu sitakaa nimle. Kuanzia 2015 Nikaja kuonana naye 2020, aisee kumbe alipigwa mimba, na mwamba akagoma kuoa, akajikuta single mother na aliyempa mimba ni jobless. Kilichofuata binti alikonda ghafla mashavu yale ya round yakazama ndani kama bibi kizee, maisha yakamgonga. Aliponiona akaanza kunipapatikia nikampiga block pale pale tena mbele za watu. Nakumbuka nilienda pale kuscan passport na kutoa copy nyaraka flani nilikuwa nasafiri kwenda ulaya, Hapo hapo alianza kuniomba nimnunulie soda, vocha mara anataka nimnunulie lunch. Nilimwambia live, una kazi, una kipato, jihudumie. Hakuamini macho yake, bado akaendelea kunitafuta kwenye simu, jioni akanipigia anaomba msamaha, kama vipi yuko tayari aje hotelini. Nikamblock. Unajua hawa mabinti wa kibongo wengi wakiona umepata trip ya kukwea pipa unaenda Europe au kwa Trump, akilini mwao wanaanza kujiwekea mawazo kwamba wewe umeula una dollari.
Nenda kwa mama yakoUnaelezea kuliwa fedha zako au safari yako ya Ulaya?
Kwani ww nini kimekukuta"Sikutaki", "Nina mtu wangu", "Sina hisia nawe", "Hatuwezi kuwa pamoja", "You are not my type"..... na majibu mengine kama hayo ulikuwa ukiyatoa wakati wote mkiwa under 30yrs tena mara nyingi below 25 years. Na utakuta jamaa alikuwa akiona jinsi ukila bata na vipenzi vya moyo wako huku ukiendelea kumkazia. Jamaa hakusema neno bali akajikaza na kuendelea na maisha yake kwa sababu kuna siku ulimwambia aache kuwa king'ang'anizi mbele ya watu.
Mkapotezana kwa miaka kadhaa mkaja kukutana tena mkiwa watu wazima above 35years. Wewe ukiwa umeshaanza kuwa mwanafunzi mtiifu wa Dr Janabi kuhusu ulaji huku ukiwa mteja mkubwa wa slimming tea kiasi kwamba unastahili kuwa balozi wake. Lakini ukiwa bado single hujaolewa na huna mtoto. Wale vipenzi vya moyo wako wameshaoa wapenzi wa mioyo yao. Jamaa yeye kama ilivyo kwa wanaume wengi anaonekana bado yuko fit kiasi kwamba anaweza hata kuendana na baadhi ya vitoto vya 2000.
Katika hali ya kushangaza jamaa bado akakumbushia ombi lake la wewe kuwa mpenzi pamoja na kwamba kwa sasa umeshaanza kuonekana kama bibi wa mjukuu mmoja (Arusha tunaita Kokoo). Ninakushauri ENDELEA KUMKATAA MAANA MWANAUME HALISI KWA WAKATI HUU ANACHOTAKA NI KULIPIZA jinsi ulivyompitisha kwenye moto. Mwanaume hawezi samehe yeyote anayedhalilisha uanaume wake. Pia kwa hesabu za kawaida ni ngumu mwanaume wa miaka zaidi ya 30 akawa single au kukosa hata mtoto.
Sema wanawake kuanzia 35+ huwa wanakuwa wamoto sana na wazuri zaidi"Sikutaki", "Nina mtu wangu", "Sina hisia nawe", "Hatuwezi kuwa pamoja", "You are not my type"..... na majibu mengine kama hayo ulikuwa ukiyatoa wakati wote mkiwa under 30yrs tena mara nyingi below 25 years. Na utakuta jamaa alikuwa akiona jinsi ukila bata na vipenzi vya moyo wako huku ukiendelea kumkazia. Jamaa hakusema neno bali akajikaza na kuendelea na maisha yake kwa sababu kuna siku ulimwambia aache kuwa king'ang'anizi mbele ya watu.